Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

Sheli ni kituo cha mafuta, imekuwa hivyo, iko hivyo ma itabaki kuwa hivyo..Majina ya vitu au mahali fulani hiwa na historia yake.

Unataka mtu aiite pikipiki ya matairi matatu badala ya bajaji? Nani atakuelewa. Imeenda hiyo
Haijaenda mkuu, wrong is wrong.
 
Hujamalizia pia aliwahi kuwa jambazi na mwizi mkubwa sana nchini Kenya kabla hajafukuzwa na kurudi Tanzania kuanzisha kanisa.
 
Ahsante sana kwa jibu lako mkuu
Ni mwenyeji wa mkoa gani
 
Hahaha mzee mmoja hivi mhuni wa zamani aliyejifanya kaokoka. I had a girfriend na bado anafanya kazi pale, mzee anapenda watu weupe na hata mkewe ni cheupe.
Wahudumu sio wote Wairaq, demu wangu alikua mixer ya Msukuma na Mnyiramba. Mzee anachoangalia rangi,kabila baki nalo mwenyewe.
 
Sheli nyingi zna mizik labda hujawahi fika kanda ya ziwa....nenda Kahama pale jamaa wanaweka music kabsa eg mathayo filling station,migori filling station....huyu kaenda mbali zaid kafunga tv kabsa kwa kila pump.....
Pale Njombe mitaa ya Kibena kuna Sheli nayo full Disco mpaka mpira wanaontesha.
 
Mmiliki ni Askofu fulani hivi
 
Huu Bwana sori yake kubwa ya mafanikio n utoaji ndugu
Niliwahi sali nae kanisa laa mama Rwaakatare aisee yàanii akisikia kunahitajika msaada fulani ama aa ujenzi ama mtu anamatatizo kutoaa mil 50 mpaka 100 kawaida kabisa sijajua kuhusu hali za wafanyakazi wake maana wengi wanaotoaaa huwa waliokaribh hutaabika sana ila n mtu mmoja mzuri 🎅

Nilimfurahia sikumoja baada ya mama rwakatare kufa nahisi alihama ama alikuja siku hio kutoa ushuhuda nilimkuta kwa mwamposa akishuhudia na kumshukuru Mungu toka aanze kusali kwa mwamposa ameongeza fuel stations zaidi ya 5 na akatoa sadaka kiasi....[kikubwaa]..na Mungu wake

usioneemafanikio tu nyuma kuna utoaji
 
Kwa nyongeza tu huyu jamaa alikuwa mtu wa "FRONT" enzi za ujana wake huko nchini Kenya
 
Badilisha heading basi ili isomeke "Nani mmiliki wa makampuni ya/vituo vya mafuta ya Sheli na Victoria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…