Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Mwaka jana walisema ni bonanza wakafukuza benchi lote la makocha. Sijui Kanjibhai safari hii atakuja na gia gani.Lakini mafala wanaompigia magoti itabidi wakubali tu atakachosema hawana jinsi.
 
Mkuu ndetichia leo mji kimyaaaaaa walevi wamelala mapema baada ya kupakatwa.
 
Naipenda simba mshabiki wa damuuuu! mwenzenu sitoihama, simba tunatishaaaaaaaa
 

Inabidi Yanga wamsajili Sserumboo ili kuifunga Simba waachane na hao akina Sserunkundu wa kibrazil.

 
Bahati mbaya sana ujumbe wako utaishia hapa hapa JF...

Na mwisho wa siku utatamani uzi huu ufutwe lakini ndio mtakuwa mshachezea nakozi...

Njoo utupe matokeo au wewe ni katika wale waliozimia?Goli mbili wamezimia 4.Ndio mtakoma na midomo yenu mirefu.
 

Attachments

  • 1418501904659.jpg
    1418501904659.jpg
    44.8 KB · Views: 143
Back
Top Bottom