Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Wale wa pande ya pili wakujichubua halafu mishangingi kibao hata kwenye lile chama lao sijui kwa nini.
Kama Didaa etiiiii.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa pande ya pili wakujichubua halafu mishangingi kibao hata kwenye lile chama lao sijui kwa nini.
Mlokole wacha uoga. Jitokeze utetee ulichoandika. Mdomo mrefu ukikojolewa kimyaaaaaa kama umekunywa gundi.
kwa mkopo au niwa siku zote..Watu weweeeeeeeeeeee!!!!!!! Simba oyeeereeeeeeee
teh teh makubwa...LoL!!!! UKAWA is here to stay Mkuu.
pole sana mkuu ndio mchezo tu huo..Still Loading..........
Still Loading..........
Bahati mbaya sana ujumbe wako utaishia hapa hapa JF...
Na mwisho wa siku utatamani uzi huu ufutwe lakini ndio mtakuwa mshachezea nakozi...
tutajipange msimu ujao hamna tabu. Mpira una matokeo matatu. Mia
Njoo utupe matokeo au wewe ni katika wale waliozimia?Goli mbili wamezimia 4.Ndio mtakoma na midomo yenu mirefu.
Mtani Jembe haina tofauti na mashindano ya mchangani ndondo, Yanga hatushiriki tena huu ujinga
Mtani Jembe haina tofauti na mashindano ya mchangani ndondo, Yanga hatushiriki tena huu ujinga
Weraaaaa....
Weraaaaaaa...
Hapo sasa wewe ndo utakuwa msemaji wa Yanga! Vinginevyo yanga watashiriki na watakiona.
watakiona cha mtema kuni
Afadhali hata huyo, wengine wametolewa kwa machela.
Vv