Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles.

Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi.

Nimefuatilia sioni wachina,wazungu,waarabu wakivaa hii kitu.

Licha ya kutengenezwa hasa na wachina lakini sijui imekuaje ghafla wabongo sijui nchi nyingine afrika, dela limebadilisha kabisa tasnia ya mavazi ya mwanamke nchini.

Kama kuna mwanamke hana basi ni wakuhesabu.


Kwa nini nahoji?
Nchi imetumia gharama na muda mwingi kutafuta vazi LA taifa. Lakini huyo mjasiliamali Kawa siku kadhaa tu kabadikisha upepo dela nimekuwa vazi LA mwanamke mtanzania.

Wakuu kuuliza sio UJINGA asili ya hii kitu ni wapi na imekuajekuaje ndani ya muda mfupi imekubalika sana.
 
ndio hivo

kuna mtu alinambia et nikivaa vijora ni kama nimevaa pazia na wakati huao havikua kwenye trend kama sasa
Kwa nini vimepokelewa kwa shangwe uswazi kuliko kwa wenye nazo....

Tandika utadhani ni vazi LA Kata.
Siku ya wanawake Mtaa flani wao wakavaa ndio sale Yao hahaha
 
Back
Top Bottom