Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
ajabu kuna mtu anaona ni kazi ni mazoea mimi nimezoea hivo sioni shida kabisa kulishikiliaNdio vazi linavyotakiwa hivyo
Kuwa refu huku umelishika [emoji106]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajabu kuna mtu anaona ni kazi ni mazoea mimi nimezoea hivo sioni shida kabisa kulishikiliaNdio vazi linavyotakiwa hivyo
Kuwa refu huku umelishika [emoji106]
mimi naamini katika stara, kuvaa nguo huku ulichokivaa ndani kinaonekana sio stara napendelea kuvaa na zile rinda ndefu namcheshia mchezo umeishaHahaha
Inabidi uwe unatia na kabukta flani kwa ndani ukichoka unachomekea tu. Maana huwa mnachomekea kwenye Kabati.
Mnadhambi nyie
Hahahahaijawahi kunichosha wallah, na siwezi kupunguza
Ni nani Mkuu.Aliye leta Dera si mtu mwema.
Zile khanga zilikua zinatupa hamasa bwana. Toto likitoka kuoga lazima uturahi. Wakitembea au hata mkiwa ndani ilikua raha tu. Sasa Dera hata hujui Kama taarabu imo au la.
Wanasema dela bila tako ni sawa na kuvaa kanzuDela/kijola ukikuta mama mwenye msambwanda wake kalishikilia basi ni burudani toshaa
Mkuu asante kwa nondo.Nadhani ukanda mzima wa Sahel wanavaa hili vazi kuanzia Somalia South Somalia North hadi Mauritania
Ethiopia linavaliwa sana maeneo yanayopakana Somalia
North Sudan hili vazi huvaliwa sana hata ukiingia Chad vazi hili huvaliwa
Nadhani akinamama hulipenda sana kwa sababu linasaidia kupunguza joto kutoka katika maeneo yao nyeti
Mombasa unakuta kuna maeneo Wanawake wazuri kwelikweli wanatafuna mirungi wakiwa wamebakia madera pekee bila underwear au gagulo unaona kila kitu halafu wanalembua ajabu halafu ukipagawa wanakwambia "hutomoki leo"Hao wamama wa huko huwa naona hadi wanachunga mbuzi na madera ika Yao ni mazito kabisa huwezi hata kumtamani kihivyo.
Asili yake ni nchini YEMEN.Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles..
Ni kweli wengi wanavaa hili vazi ila mishono inatofautiana kwa miji na miji au nchi.Nadhani ukanda mzima wa Sahel wanavaa hili vazi kuanzia Somalia South Somalia North hadi Mauritania
Ethiopia linavaliwa sana maeneo yanayopakana Somalia...
Hatari sana...Mombasa unakuta kuna maeneo Wanawake wazuri kwelikweli wanatafuna mirungi wakiwa wamebakia madera pekee bila underwear au gagulo unaona kila kitu halafu wanalembua ajabu halafu ukipagawa wanakwambia "hutomoki leo"
North Sudan lakwao ndio la ajabu sana utasema ni sari za kihindiNi kweli wengi wanavaa hili vazi ila mishono inatofautiana kwa miji na miji au nchi
Kwa mfano Mogadishu wanavaa vazi linaitwa Guntiino hilo ni ajab wanavyofunga hiyo nguo ila imepishana sana na Diraa wanayovaa huko kwingine kama Hargeisa
ajabu kuna mtu anaona ni kazi ni mazoea mimi nimezoea hivo sioni shida kabisa kulishikilia
North Sudan lakwao ndio la ajabu sana utasema ni sari za kihindi
Mkuu unajua hadi unatisha.North Sudan lakwao ndio la ajabu sana utasema ni sari za kihindi
Lile vazi LA wakina igwe Mkuu inabidi utembee kwenye tiles maana ukiingia nalo mfano kwenye vumbi la Dodoma watu wanaweza kudhani unatoka kubeba Tofari za kuchoma.Ni mazoea tu kama umezoea wala halimpi tabu mvaaji
Raha ya diraa ni kulishikilia maana ukikuona kalishikilia ndio utajua huyo kafuata vazi lilivyo
Hata wanaijeria (wanaume) vazi lao mpaka ulibebe [emoji23][emoji23]
Ahsalaam alaykhum my dearna kuvaa dera sio kazi, kazi kulishikilia
Kapicha puliziii😂😂Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles.
Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi.
Nimefuatilia sioni wachina,wazungu,waarabu wakivaa hii kitu.
Licha ya kutengenezwa hasa na wachina lakini sijui imekuaje ghafla wabongo sijui nchi nyingine afrika, dela limebadilisha kabisa tasnia ya mavazi ya mwanamke nchini.
Kama kuna mwanamke hana basi ni wakuhesabu.
Kwa nini nahoji?
Nchi imetumia gharama na muda mwingi kutafuta vazi LA taifa. Lakini huyo mjasiliamali Kawa siku kadhaa tu kabadikisha upepo dela nimekuwa vazi LA mwanamke mtanzania.
Wakuu kuuliza sio UJINGA asili ya hii kitu ni wapi na imekuajekuaje ndani ya muda mfupi imekubalika sana.