Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Ni mazoea tu kama umezoea wala halimpi tabu mvaaji
Raha ya diraa ni kulishikilia maana ukikuona kalishikilia ndio utajua huyo kafuata vazi lilivyo
Hata wanaijeria (wanaume) vazi lao mpaka ulibebe [emoji23][emoji23]
hahaha umenichekesha
 
Ila hili neno vijora limetokana na neno jora nafikiri linamaanishi kitambaa. Kwenye vitabu vya Shaaban Robert katumia sana hili neno na hiyo ni miaka kabla ya uhuru.

Tofauti ya dera na kijora ni nini?. Ila Wabongo! Wanapiga hadi vimono! Kama wajap vile!!
 
Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles.

Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi.

Nimefuatilia sioni wachina,wazungu,waarabu wakivaa hii kitu.

Licha ya kutengenezwa hasa na wachina lakini sijui imekuaje ghafla wabongo sijui nchi nyingine afrika, dela limebadilisha kabisa tasnia ya mavazi ya mwanamke nchini.

Kama kuna mwanamke hana basi ni wakuhesabu.

Kwa nini nahoji?
Nchi imetumia gharama na muda mwingi kutafuta vazi LA taifa. Lakini huyo mjasiliamali Kawa siku kadhaa tu kabadikisha upepo dela nimekuwa vazi LA mwanamke mtanzania.

Wakuu kuuliza sio UJINGA asili ya hii kitu ni wapi na imekuajekuaje ndani ya muda mfupi imekubalika sana.
Asili ya vazi hili ukiangalia vzuri sana utagundua kuna element kidgo ya mavazi ya kihindi kutokana na ile style yake.
 
Kuna wadada huwaga wanavaa madera lakini Mzigo unachana turubai walahi kuna mmoja ilibdi nijidai mwehu nikamwambia Dada kweli umejitahidi sana kujisitiri lakini Upendelo uliopewa sio wa kawaida...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukitaka kumpata mwanamke msifie

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa hekima zako mkurugenzi wa masihara nchini hahahah
 
Wanawake wa ukanda huo wana miili ya wastani pia, sio mabonge.
Mkuu asante kwa nondo.

Huko nako wanafujo kama huku. Maana huku hasa uswazi imekuwa kama ni inhizo jipya duniani. Mara wachmekee kwenye vyu.pi, Mara abane kalio...
 
Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles.

Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi.

Nimefuatilia sioni wachina,wazungu,waarabu wakivaa hii kitu.

Licha ya kutengenezwa hasa na wachina lakini sijui imekuaje ghafla wabongo sijui nchi nyingine afrika, dela limebadilisha kabisa tasnia ya mavazi ya mwanamke nchini.

Kama kuna mwanamke hana basi ni wakuhesabu.

Kwa nini nahoji?
Nchi imetumia gharama na muda mwingi kutafuta vazi LA taifa. Lakini huyo mjasiliamali Kawa siku kadhaa tu kabadikisha upepo dela nimekuwa vazi LA mwanamke mtanzania.

Wakuu kuuliza sio UJINGA asili ya hii kitu ni wapi na imekuajekuaje ndani ya muda mfupi imekubalika sana.
Kuvaa dela si kazi, kazi kulishikilia yahe!
 
Back
Top Bottom