Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Nasikia hayo ni Yale ya masikini.
Ila hapo ya adabu mazito na hayana mambo hayo ya uswahili.

Hii kitu Wenda ni ingizo LA ibirisi
ya kiswahili ni vijora madira kuanzia misomali madishdasha and the like ndio bei ghali almost kuanzia elf 30 - 35 lakini vijora kisicho na mtandio elf 8 cha mtandio elf 12 madera ya kanga ndio ya kumwaga elf kumi elf nane unajipatia
 
Kwa nini hawaingii nayo makanisani
Au ni vazi la kupumzikia nyumbani tu.

Tutoane ushamba wakuu, hawa ni wake,Dada,mama zetu wameletewa vazi nimepita mahali nikawatafakari Mara Uzi tayari ukatua kwenye medula
 
madera mengi yanakua marefu ni uamuzi wa mtu kupunguza au kuliacha kama mtu hajazoea kushikilia lazima aone kadhia ya kuvaa tena binafsi napenda nguo ifike chini ifunike miguu kias halaf nikitembea nishikilie kama utumwa flani hvii eh?? ni mazoea mkuu nimezoea
Mama unaonekana una msamwanda wa abuja 😂😂😂
 
Ile staili yao ya kushikilia hilo vazi hivi haiwachoshi? kwanini wasikate iwe ndefu ya wastani ili isiburuze chini kuepuka kushikilia au hakuna madera mafupi?
haijawahi kunichosha wallah, na siwezi kupunguza
 
Kwa nini hawaingii nayo makanisani
Au ni vazi la kupumzikia nyumbani tu.

Tutoane ushamba wakuu, hawa ni wake,Dada,mama zetu wameletewa vazi nimepita mahali nikawatafakari Mara Uzi tayari ukatua kwenye medula
ni maamuzi kama maamuzi mengine wapo mbona wengine huenda nayo makanisani na misikitini
 
Dira asili yake ni North Somalia ila South wana vazi lingine tofauti kidogo
Tembea uone kwa kweli
Nadhani ukanda mzima wa Sahel wanavaa hili vazi kuanzia Somalia South Somalia North hadi Mauritania
Ethiopia linavaliwa sana maeneo yanayopakana Somalia
North Sudan hili vazi huvaliwa sana hata ukiingia Chad vazi hili huvaliwa

Nadhani akinamama hulipenda sana kwa sababu linasaidia kupunguza joto kutoka katika maeneo yao nyeti
 
Aliye leta Dera si mtu mwema.
Zile khanga zilikua zinatupa hamasa bwana. Toto likitoka kuoga lazima uturahi. Wakitembea au hata mkiwa ndani ilikua raha tu. Sasa Dera hata hujui Kama taarabu imo au la.
 
Back
Top Bottom