Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Nani muasisi wa vazi la "DELA"?

Lile vazi LA wakina igwe Mkuu inabidi utembee kwenye tiles maana ukiingia nalo mfano kwenye vumbi la Dodoma watu wanaweza kudhani unatoka kubeba Tofari za kuchoma.

Vumbi kila kona

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko kubuluza chini na kulishikilia naona ndio fasheni la hilo dira sijui dera, miaka ya nyuma kama ya 2000 hv ilikujaga fasheni yakuitwa chalanga sketi moja ndefu hadi inabuluza chini sasa ukikuta mdada mfupi katupia hilo chalanga asee ni kituko😁
 
Huko kubuluza chini na kulishikilia naona ndio fasheni la hilo dira sijui dera, miaka ya nyuma kama ya 2000 hv ilikujaga fasheni yakuitwa chalanga sketi moja ndefu hadi inabuluza chini sasa ukikuta mdada mfupi katupia hilo chalanga asee ni kituko😁
Hahahaha hiyo charanga ilikuwa balaa.
Hili dela nalo litapita
 
Mmenikumbusha miaka michache iliyopita pale CBE katazo la nguo za kubana lilipopitishwa warembo walihamia kwenye hili vazi bila vikamatia makalio aiseee ilikua kufuru

Kingsmann
IMG_20210317_105236.jpg


Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
madera mengi yanakua marefu ni uamuzi wa mtu kupunguza au kuliacha kama mtu hajazoea kushikilia lazima aone kadhia ya kuvaa tena binafsi napenda nguo ifike chini ifunike miguu kias halaf nikitembea nishikilie kama utumwa flani hvii eh?? ni mazoea mkuu nimezoea
Ninabashiri ubashiri wa uhakika kwamba chura kwako yupo wa haja na mkuu wewe ni mweupee peee nachomekea lakini
 
Mwandiko wako tu unaonesha una chura na ni mweupeee peee
sasa unapingana na uhalisia?? mimi ndio mhusika na ndio nakujibu hapa sipo kama ufikiriavyo unataka kuamini haya hutaki hata sikulazimishi
 
Back
Top Bottom