CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Baba rizmokoKwanza mtafute mtu ambaye yupo na mwenye nguvu toka kipindi wakina Mangula, JPM na Mwakyembe wanalishwa masumu hadi leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba rizmokoKwanza mtafute mtu ambaye yupo na mwenye nguvu toka kipindi wakina Mangula, JPM na Mwakyembe wanalishwa masumu hadi leo.
Na ni juzi tu wamemtoa roho kada wao kwa mbinu hizi hizi za sumu. Walianza kuua wapinzani sasa wamenogewa wanamalizana wenyeweView attachment 2897017
ROSTAM AZIZI...ROSTAM AZIZI... ROSTAM AZIZI...ZUNGU...ZUNGU...ZUNGU....GSM...GSM...GSM.Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU!
Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni genge la maauji!
Hili ni ingizo jipya katika jamii japo kijasusi si jambo geni. Nachojiuliza maswali bila majibu ni kwamba, Bado Mkuu wa Jeshi la Polisi yupo tu?, Bado Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa yupo tu? Usiseme hayo ni mambo ya wanaccm na kwamba hayakuhusu, Amini nakuambia, Wakimalizana huko ccm, hawa makada wataanza kutembea na vichupa vya sumu mitaani kuwinda wapinzani na wakosiaji.
Naomba nikurejeshe katika Kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi juu ya Mbinu za kijasusi za mauaji ama kudhoofisha afya ya mlemgwa na hasa mbinu ya kumpulizia sumu adui.
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau akishika hatamu katika muhula wake wa kwanza aliruhusu kufanyika kwa misheni ya kumuaa Bw. Khaled Meshaal katika mji mkuu wa Jordan Amman, Bwana Khaled Meshaal alikuwa kiongozi wa mamlaka ya ndani ya Palestina. Mawakala watano wa ujasusi wa shirika la Mossad la Israel waliingia nchini Jordan kwa kuigiza kama watalii kutoka Canada. Walimvamia Bw. Meshaal katika mitaa ya jiji la Amman na kumpulizia sumu sikioni. Kisha walimuacha akiwa hajitambui wakiamiani angekufa ndani ya masaa 48. Lakini Bw. Meshaal hakufa.
Katika tukio lingine, mtu mmoja aliyeitwa Bohdan Mykolayovych Stashynsky, aliyekua muuaji wa shirika la kijasusi la muungano wa soviet, KGB, aliwaua viongozi wawili wa Ukraine; Lev Rebet na Stephan Bandera. Baada ya kupokea agizo la kutekeleza mpango huo kutoka kwa Mwenyekiti wa halmashauri ya mawaziri wa Soviet, Bw. Bohdan alitumia mbinu ya kumpulizia sumu mlengwa wa kwanza na kuhakikisha anapoteza maisha mnamo mwaka 1957. Miaka miwili baadae, yaani 1959, Bohdan alimuua Bw. Stephan Bandera kwa mbinu ileile. Ndipo alipopewa tuzo ya Order of the Red Banner kutoka Moscow. Katika mbinu hiyo, sumu ya Cyanide hutumiwa mara nyingi. Cyanide huweza kuandaliwa kama unga na kuchanganya na manukato au maji na kuwekwa katika kipulizo kama manukato au bunduki ya kupuliza.
Aina ya sumu za maaji ya kiserikali ziko nyingi lakini kwa uwezo wa uhifadhi na uwezo wa kiinchi, Nchi nyingi za afrika zinamiliki zaidi sumu ya cyanide ambayo kimsingi ni sumu ya kale ya kisoviet ambayo hata Urusi wenyewe na Ulaya hawatumii katika dunia ya leo.
Swali tunalotakiwa kuwauliza Wanaccm na serikali yao, Ni nani anayeruhusu matumizi ya mauaji ya sumu katika nchi yetu? Nani anadhibiti ghala la silaha za kibaolojia na kikemia katika nchi yetu?
Kwenye mashirika ya kijasusi yaliyostaarabika na yanayoheshimu misingi ya ujasusi, maghala ya silaha zote za kimaabara huwa chini ya mamlaka ya mkuu wa nchi mfano Rais, Waziri Mkuu, Mfalme au Malkia inategemeana na aina ya mfumo wa taifa hilo. Panapohitajika matumizi ya sumu hizi mwenye mamlaka ya kuruhusu matumizi hayo ni rais wa nchi, waziri mkuu wa nchi, mfalme au malka ambao kwa lunga ya kijasusi huitwa “sponsor”. Hili inategemeana na muondo wa nchi na shirika/idara husika.....
Kwaundani, Soma Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa +255715865544 au +255755865544
Mbona nyie mnao sema makonda alihusika na utekaji,mbona hamhojiwi na polisi ili kudhibitisha tuhuma hizo!?.Uchambuzi umekaa vizuri sana. Kama nchi yetu inafuata kweli misingi ya kisheria, haki na pia utawala bora; basi huyu Paul Makonda anatakiwa kuhojiwa na vyombo vya dola, ili ukweli ubainike. Maana ni dhahiri hiyo kauli yake ina ukakasi mwingi.
😆😆🤣🤣😂ati Wamenogewa kuuana...🤣 aisee nimecheka sana.wamenogewa wanamalizana wenyewe
Na vifo vikitokea tunaumia sisi raia kisaikolojia wao hata hawajali.Aisee ni hatari sana!Hatujui nani atatangulizwa ahera.
Well saidkuna watu hawana hofu yoyote ya Mungu, maslahi ya kisiasa yanewapofua macho hawaoni mbele tena.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Dhamni ya damu ya mtu hua inakwenda mpaka kizazi cha nne.Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU!
Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni genge la maauji!
Hili ni ingizo jipya katika jamii japo kijasusi si jambo geni. Nachojiuliza maswali bila majibu ni kwamba, Bado Mkuu wa Jeshi la Polisi yupo tu?, Bado Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa yupo tu? Usiseme hayo ni mambo ya wanaccm na kwamba hayakuhusu, Amini nakuambia, Wakimalizana huko ccm, hawa makada wataanza kutembea na vichupa vya sumu mitaani kuwinda wapinzani na wakosiaji.
Naomba nikurejeshe katika Kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi juu ya Mbinu za kijasusi za mauaji ama kudhoofisha afya ya mlemgwa na hasa mbinu ya kumpulizia sumu adui.
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau akishika hatamu katika muhula wake wa kwanza aliruhusu kufanyika kwa misheni ya kumuaa Bw. Khaled Meshaal katika mji mkuu wa Jordan Amman, Bwana Khaled Meshaal alikuwa kiongozi wa mamlaka ya ndani ya Palestina. Mawakala watano wa ujasusi wa shirika la Mossad la Israel waliingia nchini Jordan kwa kuigiza kama watalii kutoka Canada. Walimvamia Bw. Meshaal katika mitaa ya jiji la Amman na kumpulizia sumu sikioni. Kisha walimuacha akiwa hajitambui wakiamiani angekufa ndani ya masaa 48. Lakini Bw. Meshaal hakufa.
Katika tukio lingine, mtu mmoja aliyeitwa Bohdan Mykolayovych Stashynsky, aliyekua muuaji wa shirika la kijasusi la muungano wa soviet, KGB, aliwaua viongozi wawili wa Ukraine; Lev Rebet na Stephan Bandera. Baada ya kupokea agizo la kutekeleza mpango huo kutoka kwa Mwenyekiti wa halmashauri ya mawaziri wa Soviet, Bw. Bohdan alitumia mbinu ya kumpulizia sumu mlengwa wa kwanza na kuhakikisha anapoteza maisha mnamo mwaka 1957. Miaka miwili baadae, yaani 1959, Bohdan alimuua Bw. Stephan Bandera kwa mbinu ileile. Ndipo alipopewa tuzo ya Order of the Red Banner kutoka Moscow. Katika mbinu hiyo, sumu ya Cyanide hutumiwa mara nyingi. Cyanide huweza kuandaliwa kama unga na kuchanganya na manukato au maji na kuwekwa katika kipulizo kama manukato au bunduki ya kupuliza.
Aina ya sumu za maaji ya kiserikali ziko nyingi lakini kwa uwezo wa uhifadhi na uwezo wa kiinchi, Nchi nyingi za afrika zinamiliki zaidi sumu ya cyanide ambayo kimsingi ni sumu ya kale ya kisoviet ambayo hata Urusi wenyewe na Ulaya hawatumii katika dunia ya leo.
Swali tunalotakiwa kuwauliza Wanaccm na serikali yao, Ni nani anayeruhusu matumizi ya mauaji ya sumu katika nchi yetu? Nani anadhibiti ghala la silaha za kibaolojia na kikemia katika nchi yetu?
Kwenye mashirika ya kijasusi yaliyostaarabika na yanayoheshimu misingi ya ujasusi, maghala ya silaha zote za kimaabara huwa chini ya mamlaka ya mkuu wa nchi mfano Rais, Waziri Mkuu, Mfalme au Malkia inategemeana na aina ya mfumo wa taifa hilo. Panapohitajika matumizi ya sumu hizi mwenye mamlaka ya kuruhusu matumizi hayo ni rais wa nchi, waziri mkuu wa nchi, mfalme au malka ambao kwa lunga ya kijasusi huitwa “sponsor”. Hili inategemeana na muondo wa nchi na shirika/idara husika.....
Kwaundani, Soma Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa +255715865544 au +255755865544
Nyie wakina nani? Na ni wapi uliponiona nimesema hayo maneno unayotaka kunimezesha hapa?Mbona nyie mnao sema makonda alihusika na utekaji,mbona hamhojiwi na polisi ili kudhibitisha tuhuma hizo!?.
Pumbavu weweNa ni juzi tu wamemtoa roho kada wao kwa mbinu hizi hizi za sumu. Walianza kuua wapinzani sasa wamenogewa wanamalizana wenyeweView attachment 2897017
Hivi Mangula yuko wapi ? siku ile pale lumumba walibaki wanne tu na mhudumu mmoja akawekewa sumu , wqliobaki ni Mangula , Jiwe , Polepole na BashiruHii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU!
Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni genge la maauji!
Comrade Peter Magoti, Au sio huyu?Hivi Mangula yuko wapi ? siku ile pale lumumba walibaki wanne tu na mhudumu mmoja akawekewa sumu , wqliobaki ni Mangula , Jiwe , Polepole na Bashiru
Huyo Mhudumu mfupi sitamtaja kwa sababu za kibinadamu
Hapo hujatajwa lakini umerukia. Damu ya Thadei Ole Mushi itakutesa sana hadi siku unaingia kaburini muaji mkubwa wewe. Kifo chako kitakuwa cha mateso sanaPumbavu wewe