Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

Anayehitaji sumu ya Cyanide anicheki inbox.

Uchaguzi wa serikali za mitaa umekaribia na uchaguzi mkuu unakuja hivyo ni vema uwe nayo hii sumu.

Kichupa hiki nauza Tshs: 110,000/=
 
ROSTAM AZIZI...ROSTAM AZIZI... ROSTAM AZIZI...ZUNGU...ZUNGU...ZUNGU....GSM...GSM...GSM.
 
Uchambuzi umekaa vizuri sana. Kama nchi yetu inafuata kweli misingi ya kisheria, haki na pia utawala bora; basi huyu Paul Makonda anatakiwa kuhojiwa na vyombo vya dola, ili ukweli ubainike. Maana ni dhahiri hiyo kauli yake ina ukakasi mwingi.
Mbona nyie mnao sema makonda alihusika na utekaji,mbona hamhojiwi na polisi ili kudhibitisha tuhuma hizo!?.
 
Aisee ni hatari sana!Hatujui nani atatangulizwa ahera.
Na vifo vikitokea tunaumia sisi raia kisaikolojia wao hata hawajali.

Hivi umajua mamilion ya watanzania mjini na vijijini wanaamini Mh. Magufuli ipo siku atarudi na kila mmoja atafurahia.

Je ni nani anaweza kutambua hili na kuchukua nafasi ya kuwajenga watu hisia zao na kuwapa moyo wasonge mbele.

Mbona Nyerere alivyokufa zilitumika approacha nzuri na za mara moja kuwajenga watu kisaikolojia kwa

1. Kwa kutengeneza msiba wa Taifa
2. Kufanyika kwa matukio mbalimbali ya mwendelezo pale Mwitongo Musoma
3. Vipindi kedekede vya kumuenzi katika medi zote
4. Kanga, nguo, na vipeperushi vyenye ujumbe wa Nyerere nk vilisaidia watu kuzoea hali na kumove on

Na mengine meeengi.


Sasa alipokufa JPM ambae mamilion ya watanzania, mabilion ya waafrika walimpenda hakuna hatua stahiki zilichukuliwa...
Tukio lilipelekwa pelekwa ili liishe lipite, baada ya pale yakaanza masimango, vijembe juu ya marehemu.

Kiongozi mkuu tuliemtegemea kutupa mshikamano yeye akaja na misemo ya kuumiza zaidi..

a) tunafungua nchi (kwani nani aliifunga)
b). Kuna ule msemo wa simba wa yuda

Nimalize kwa kusema hupati support kwa watanzania kwa kumponda JPM yani hapo ndio wanakudharau kuliko chochote

Hupati support ya watanzania ikiwa husikilizi, hutatui changamoto zao hata kama ni kidogo katika uono wako, ila kwao ndio changamoto kubwa.

Keep Going MAKO
 
Kama ni wao wenyewe acha wamalizane maana suoni faida yao maana ni uchawa tu
 
Dhamni ya damu ya mtu hua inakwenda mpaka kizazi cha nne.
 
Sasa kama haukagui vinywaji vyako si uzembe wako
 
Na Nyamitako bado anawindwa sidhani kama atatoboa 2025.
 
Hivi Mangula yuko wapi ? siku ile pale lumumba walibaki wanne tu na mhudumu mmoja akawekewa sumu , wqliobaki ni Mangula , Jiwe , Polepole na Bashiru

Huyo Mhudumu mfupi sitamtaja kwa sababu za kibinadamu
 
Hivi Mangula yuko wapi ? siku ile pale lumumba walibaki wanne tu na mhudumu mmoja akawekewa sumu , wqliobaki ni Mangula , Jiwe , Polepole na Bashiru

Huyo Mhudumu mfupi sitamtaja kwa sababu za kibinadamu
Comrade Peter Magoti, Au sio huyu?
 
Makonda na Polepole wameongelea na waganga (walozi) mbona hujaligusia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…