Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Walipiga kibao cha Nuhu mtu wa munguWewe umenena hadi nimefurahi. Na wale Shangilieni wa St. Joseph Arusha alikotokea Beatrice Mhone
Kuna mother aliimba Ebenezer alifariki kwa ajali ya gari hata simkumbuki jina.
Ni mwimbaji mzuri sana.
New Life Band, Ulyankulu Barabara ya 13...
Hao wengine wote uliowataja ni wafanyabiashara nyuma ya nyimbo za injili...
New Life Band, Ulyankulu Barabara ya 13...
Hao wengine wote uliowataja ni wafanyabiashara nyuma ya nyimbo za injili...
Wewe umenena hadi nimefurahi. Na wale Shangilieni wa St. Joseph Arusha alikotokea Beatrice Mhone
Duuh Kumbe na wewe umeliona?Huyu Shusho anafunika aisee kabarikiwa kila kitu
Naungana na wewe bila kumsahau Upendo Kilahiro