Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Sio nyerere ni mbegu ya Nyerere, maana yeye kama punje ya mahindi iliyomaliza muda wake na kudondoka imeota na kuzaa punje nyingine nyingi , kama huyo , magufuli n.k
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.