Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Watabisha ambao hawamfaham. Eeh hicho kichwa ni sumu. Kikikaa meza moja na mtu kama Lisuu. Sipatii picha iyo innovation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shindwa Pepo punda!!View attachment 1987073
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
JK Yule wa Msoga au unaongelea mwingine?
View attachment 1987073
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Akili huana uyo ni jk wa piliJK Yule wa Msoga au unaongelea mwingine?
Aliyedanganya maisha Bora kwa kila Mtanzania kumbe ni maisha Bora kwa mafisadi na rafiki zake.
View attachment 1987073
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Mayalla,Mayalla kweli ni wewe au wa hack account yako?Kumfananisha na Nyerere ni sawa na kufananisha Liverpool na Ihefu.No innuendo intended. Ni ujinga wa hali ya juu.Naunga mkono hoja.
Kuna kitu nilikisema kuhusu mtu huyu
P
And where?? kuna watu wana n__ge humu, Polepole hata azaliwe upya (abatizwe kwa maji mengi) hawezi kuikaribia misimamo ya nyerere daima.Nyerere which?
🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 1987073
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Hivi maji na mafuta vinafanana....!!? In my understanding, oil will always come on top....!!
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Tumwache Baba wa Taifa apunzike kwa amani, viatu vyake ni vikubwa.
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Kwanza usimfananishe mwalim j.k.Nyerere na wana saisa wa sasa. Yule ndio mwenye true patriotism na nchi yake. Hakuna kiongoz wa sasa kufikia level za mwalimu.
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Watu wanaumwa akiliAnd where?? kuna watu wana n__ge humu, Polepole hata azaliwe upya (abatizwe kwa maji mengi) hawezi kuikaribia misimamo ya nyerere daima.
Huyu ni Polepole hawezi kuwa Nyerere. Nyerere ni level nyingine mkuu
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Huyo polepole hafikii hata asilimia 1 ya nyerere