Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

Sio nyerere ni mbegu ya Nyerere, maana yeye kama punje ya mahindi iliyomaliza muda wake na kudondoka imeota na kuzaa punje nyingine nyingi , kama huyo , magufuli n.k
 
mimi huwa najisikia kichefuchefu.
 
Polepole huyu huyu aliyevuna mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara au mwingine? Kuwa na heshima na Mwalimu Nyerere, usirudie tena kumlinganisha na vitu vya kipumbavu.
 
Ina maana Nyerere angekuwepo angeingilia kazi ya CAG kulinganisha mahesabu ya trilioni 1.5? au hata kujivunia matumizi ya VIIEITE kwa vigogo wa chama twawala.......tuombe radhi wadanganyika tafadhali.
 
Mhu! Labda ambao hawajawahi kumwona live na kwa karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…