Historia inasema Russia ilikuwa Nchi kubwa sana kwa kila kitu lakini ikaja kupoteza moja ya siraha kubwa zaidi katika maendeleo yake namaanisha Uchumi na Umoja wake kusambaratika.
Baada ya hapo kilichobaki ni kuhakikisha ulinzi wao unaimarika zaidi na ndio sababu leo hii kwenye uchumi wameporomoka lakini kwenye siraha na mbinu za kivita ni wababe haswa (super military might) na hawamtegemei mshirika yeyote.
Hakuna Taifa lolote wala Umoja wowote upo tayari kupigana na Russia kwa sasa itakuwa ni maafa makubwa sana.