Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume?

Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume?

Je, yawezekana kuishi katika mahusiano bila kupishana kabisa?
Nature tu ya wanawake ipo hivyo kwa kaliba yangu ni mtu mpole mno na mke wangu ni muongeaji so naweza rudi tu home akaanzisha hata kajiugomv ili tu niongeee ndo anajiskia amani.

So ukiwa barid sana hawa viumbe huwa hawapend ndo maana unakuta pis kali lakini mmewe ni konda yani ndani full vurugi ndo amani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…