Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas
Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa
Serikali ya mapinduzibua Irani imejaribu Kila njia kuizuia imeshindwa licha ya mamia ya makombora kasmbaratisha kambi zote za wazayuni Bado Israeli ni imara na inaogopwa na nchi zote za kiisilam
Uturuki miongoni mwa nchi zenye nguvu katika umma wakiisilamu kaishia tu kutoa matamko,Saudi Arabia aliye kitovu cha uisilam kasema hayamuhusu
Urusi na China hawajawa na msaada juu ya kuizuia Israeli isiyendelee na makumuzi yake
Umoja wa mataifa umeishia kutoa matamkoMarekani anauma na kupuliza
Ni taifa Gani litaweza kuisimamisha Israeli?