Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Taarifa mbaya sana, trump atajiindoa kwenye vita vya kule kwa putin soon israel atafuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege ipi na ya aina gani kutoka israel iliyoingia iran? Acha uongo we mwanachama wa LGBTQIran ana nguvu gani wakati ndege za Israel zinaingia zinavyotaka na kobazi mkuu wa Hamas kauawa ndani ya jeshi.
🤣🤣Basi tufanye hivi Marekani, Israel, German,Ufaransa na Uingeleza zinamwogopa Iran. Hapo roho yako kwatu sio?
Mkuu tufanye umeshinda sawa mbabe.Unataka tumwiteje Sasa kama siyo mbabe
Rasia anawashirika wake na anaendelea kutafuta washirika hajasimama peke yakeMkuu tufanye umeshinda sawa mbabe.
Ila hakuna mbabe anayetegemea nguvu za wengine,mathalan mtizame Russia.
Hivi ni mkataba wa aina gani huu waliusaini? Mbona kama wazungu na walatini wapo vizuri kwenye mikataba ilikuaje Israel aliwasainisha kitu Cha hovyo namna hiiIsrael ni taifa pekee duniani linalopewa unconditional aids financially,millitary and diplomatic wise na hayo mataifa manne.
Hizbollah wamenyamazishwa kuanzia uongozi wa juu mpaka chini.Sio Hizbollah,Kaya 160,000 za waisrael washarejea milima ya golani?
Mabinti watatu wadogo waliingia Iran na kufanya uharibifu mkubwa sana.Kumbuka ni tubinti tutatu tu.Na kuhusu LGBTQ;Cha ajabu hao ndiyo wanaowapiga na kuwashinda wasio "LGBTQ"!Ndege ipi na ya aina gani kutoka israel iliyoingia iran? Acha uongo we mwanachama wa LGBTQ
Hizo ndege ziliingia mpaka tel aviv? Na wala iran hawakuziona wala kuzilipua?Mabinti watatu wadogo waliingia Iran na kufanya uharibifu mkubwa sana.Kumbuka ni tubinti tutatu tu.Na kuhusu LGBTQ;Cha ajabu hao ndiyo wanaowapiga na kuwashinda wasio "LGBTQ"!
Waulizwe Iran.Hizo ndege ziliingia mpaka tel aviv? Na wala iran hawakuziona wala kuzilipua?
Muda wao utafika siku mojaTangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas
Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa
Serikali ya mapinduzibua Irani imejaribu Kila njia kuizuia imeshindwa licha ya mamia ya makombora kasmbaratisha kambi zote za wazayuni Bado Israeli ni imara na inaogopwa na nchi zote za kiisilam
Uturuki miongoni mwa nchi zenye nguvu katika umma wakiisilamu kaishia tu kutoa matamko,Saudi Arabia aliye kitovu cha uisilam kasema hayamuhusu
Urusi na China hawajawa na msaada juu ya kuizuia Israeli isiyendelee na makumuzi yake
Umoja wa mataifa umeishia kutoa matamkoMarekani anauma na kupuliza
Ni taifa Gani litaweza kuisimamisha Israeli?
Wala sio kitu cha hovyo kuna mutual interests baina yao hata USA ananufaika pia.Hivi ni mkataba wa aina gani huu waliusaini? Mbona kama wazungu na walatini wapo vizuri kwenye mikataba ilikuaje Israel aliwasainisha kitu Cha hovyo namna hii
Washirika wake ni watu wanaotoa limited support mkuu.Rasia anawashirika wake na anaendelea kutafuta washirika hajasimama peke yake
MTU kama kolea kaskazini analimitiwa na nini?Washirika wake ni watu wanaotoa limited support mkuu.
Hawatoi full support kama washirika wa Ukraine au Israel.
Na haswa washirika wa Russia ni wa kiuchumi kwasababu eneo ambalo limepwaya kwa Russia ni uchumi.
Mtu kama Korea kaskazini analimitiwa na Nini?Washirika wake ni watu wanaotoa limited support mkuu.
Hawatoi full support kama washirika wa Ukraine au Israel.
Na haswa washirika wa Russia ni wa kiuchumi kwasababu eneo ambalo limepwaya kwa Russia ni uchumi.
North Korea anaweza kuwa limited kulingana na nguvu yake kiuchumi.MTU kama kolea kaskazini analimitiwa na nini?
Hilo
Mtu kama Korea kaskazini analimitiwa na Nini?
Iwe limited au unlimited haindoi dhana ya mshirika
Sasa hayo nimadhaifu Yao acha Israel aendelee kula vinono vyakeNorth Korea anaweza kuwa limited kulingana na nguvu yake kiuchumi.
N.Korea haina ubavu wa kusimama na Russia in all aspects kaka.
Sawa dhana ya ushirika haiondolewi ila tunatizama uzito wa ushirika na nguvu ya washirika uliokua nao.
Hivi kaka N.Korea ni sawa na USA ama UK!?
Ndio huwezi kumuweka katika wababe.Sasa hayo nimadhaifu Yao acha Israel aendelee kula vinono vyake
Sawa unaweza kumuita utakavyo lkn vitendo vyake ni vya kibabeNdio huwezi kumuweka katika wababe.