M MBYA JF-Expert Member Joined Aug 21, 2020 Posts 366 Reaction score 521 Dec 25, 2024 Thread starter #41 Easy E said: Msaudia mjanja sana .. kasema hayamhusu.. Click to expand... Anajielewa sana
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Dec 25, 2024 #42 Moisemusajiografii said: Waulizwe Iran. Click to expand... Israel na iran wakipigana vita we unafaidika nini? Au wewe inakuhusu nini?
Moisemusajiografii said: Waulizwe Iran. Click to expand... Israel na iran wakipigana vita we unafaidika nini? Au wewe inakuhusu nini?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 25, 2024 #43 gonamwitu said: Israel na iran wakipigana vita we unafaidika nini? Au wewe inakuhusu nini? Click to expand... Kwa nini umeuliza nafaidika nini na si napata hasara gani?
gonamwitu said: Israel na iran wakipigana vita we unafaidika nini? Au wewe inakuhusu nini? Click to expand... Kwa nini umeuliza nafaidika nini na si napata hasara gani?
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Dec 25, 2024 #44 Moisemusajiografii said: Kwa nini umeuliza nafaidika nini na si napata hasara gani? Click to expand... Ungekuwa unapata hasara usingeshabikia. Msudani anayeishi sudani kati kati ya milio ya risasi na mabomu unadhani anaweza kushabikia vita kama wewe?
Moisemusajiografii said: Kwa nini umeuliza nafaidika nini na si napata hasara gani? Click to expand... Ungekuwa unapata hasara usingeshabikia. Msudani anayeishi sudani kati kati ya milio ya risasi na mabomu unadhani anaweza kushabikia vita kama wewe?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 25, 2024 #45 gonamwitu said: Ungekuwa unapata hasara usingeshabikia. Msudani anayeishi sudani kati kati ya milio ya risasi na mabomu unadhani anaweza kushabikia vita kama wewe? Click to expand... Nini katika muandiko kimekuonesha furaha ya mtu?
gonamwitu said: Ungekuwa unapata hasara usingeshabikia. Msudani anayeishi sudani kati kati ya milio ya risasi na mabomu unadhani anaweza kushabikia vita kama wewe? Click to expand... Nini katika muandiko kimekuonesha furaha ya mtu?
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Dec 25, 2024 #46 Wacha wapigwe mpaka watepete. Watu wamekaa zao kula bata mnaenda kuwateka na kuua. Yaani bado sana hapo wakiamka wanapiga tu popote. Tena ngoja j3 tusikie idadi ya kufunga mwaka.
Wacha wapigwe mpaka watepete. Watu wamekaa zao kula bata mnaenda kuwateka na kuua. Yaani bado sana hapo wakiamka wanapiga tu popote. Tena ngoja j3 tusikie idadi ya kufunga mwaka.