Nani wa kulaumiwa hapa kwenye ujenzi wa hii nyumba?

Nani wa kulaumiwa hapa kwenye ujenzi wa hii nyumba?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wakuu nani kayakanyaga hapa?

C2EE3A61-CD8D-4B69-87F8-9C2FFEAB2896.jpeg
 
Ni kama vile kuta zilititia,au wenye nyumba ni wafupi hivyo walijenga hivyo makusudi,pia uenda mwenye nyumba alikuwa mbali ya hapo,hivyo akaagiza tu fundi amjengee na fundi akajenga alivyoona yeye bila ramani au mchoro wowote,labda labda
 
Wote fundi msingi, ukuta na paa wana lawama. Nyumba kubwa yafaa msingi mrefu, ukuta ulitakiwa hata coz 14
 
Yote haya yameletelezwa na mbowe Yani miaka 63 haoni vizuri bado anang'ang'ania kujenga chama🥶
 
Back
Top Bottom