Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Karibuni🙏

Hiv mikopo hii inaelekezwa kwenye sector gani hasa?
 
Hadi bibi chaudele anatoka kwenye madaraka tanganyika yote itakua imerudi kua koloni la mataifa tofauti duniani, bwana nduga iiii aliyaona mapema akasema ukweli lakini kile kibibi kwa kushilikiana na machawa wake wakamtukana na kumdhalilisha kinacho endelea sasa hivi naona jamaa hua anajichekea zake
 
Sanduku la kura tu ndo linaweza mdhititi
 
Hadi bibi chaudele anatoka kwenye madaraka tanganyika yote itakua imerudi kua koloni la mataifa tofauti duniani, bwana nduga iiii aliyaona mapema akasema ukweli lakini kile kibibi kwa kushilikiana na machawa wake wakamtukana na kumdhalilisha kinacho endelea sasa hivi naona jamaa hua anajichekea zake
Waarabu wanapita mashuleni kuulizia walimu na wanafunzi wa Dini Ile,

Sijui wamesaini nini kwenye mikataba Yao!!
 
Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?

Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!

Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?

Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?

Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?

Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?

Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?

Karibuni🙏
"Anaupiga mwingi"
headless.jpg
 
Hahahaa
 
Tafuta bandiko la Profesa Mkumbo limeongelea kwa kina kilichokwenda kufanyika Korea kabla ya kuanzisha uzi wenye ujumbe ambao tayari umeshatolewa ufafanuzi.
Wewe acha janja janja........Hata kama kaeleza gazeti nzima speed ya ukopaji imepita maelezo.

Na kumbuka Prof Mkumbo in anyway ataandika uongo tu.
 
Cha kutia huruma makabwela kabisa kabisa wanachanga senti zao za kununulia chumvi eti hela ya form wakati hup hup form ni moja tuuuu.
Zile hela hakuna aliyechangia ni maigizo tu ni pesa za serikali......makabwela wanafanyishwa maigizo tu.
 
Back
Top Bottom