Nani wa kumuajiri Kwenye kampuni au Kazi yako?

Liu Yun

Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
14
Reaction score
16
Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%.
Hii ni kwanini?
 
Average people ndio hard workers na huchukua maamuzi kwa haraka bila kujifikiria sana.
Na hao wengine wenye high perfomance huwa wana asili ya kuwa complicators yaani ukimpa kazi yoyote hata ndogo tu huwa hawafanyi hadi wafikirie kwanza na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu loss and benefits ya hiyo task kitu ambacho kinapelekea kazi kuchelewa na kuchukua muda mrefu.
Sababu nyingine pia hao watu wenye high performance pia hata ukiwapa nafasi huwa hawatulii sehemu mmoja kwa muda mrefu kwa sababu wanakuwa na expectation kubwa walizojiwekea kwa hiyo hawawezi kuridhika ndio maana kila mwaka wanawaza warukie kwenye kampuni nyingine wakiamini labda watakipata wanachokitarajia sasa hii hali inawapa hasara wenye makampuni kutafuta watu wapya kila siku
 
Asante kwa maoni mazuri!
 
Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%.
Hii ni kwanini?
Wenye maksi kubwa wanaonekana wanamaringo!
 
nina IT skills kama system development. nimekuwa nikifanya kazi katika kampuni moja hapa posta Dar, toka january hadi hivi sasa. wanalipa 500K, kama unaweza kunipa zaidi ya hapo please contact me. am a laravel developer. nimegraduate mwaka jana, we have been developing differente systems including Hospital management system, Point oF sale system and different payrol systems. payments zao na workload haziendani.
 
Nicheck pm
 
Back
Top Bottom