Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,250
Reaction score
5,509
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:

Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
 
Nikupe namba ya Khamenei
 
1. Unakosea, Iran ataendelea kuwepo duniani
2. Utawala wa mapinduzi ya Kiislam ndio utafutwa tena sio muda mrefu
3. Pamoja na utawala kufutea tutashuhudia mauaji mengi ya kujitoa muhanga na nchi ya Iran itapitia kipindi kibaya na kirefu cha mauaji ya eao kwa wao.
 
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:

Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
Wamwambie libia, Iraq nk waliokutana na kadhia kali ya marekani hasa hasa Iraq imkanye
 
Mchezo aliyecheza Netanyau ndio hatari na ndio maana Sasa hivi anachapika kisawasawa

Alijua Marekani atamsaidia badala yake Marekani ameenda Irani amelipua vinu vya zamani vya Nyukilia na ndio maana Irani wamempotezea tu na kuendele kuitwanga Israel
 
Aisee kumbe bado Tanzania ina vilaza wengi kiasi hiki?
 
Iran ni nchi nzuri sana, inaharibiwa na itikadi na Imani za viongozi wao tu.
 
Kama yule kijana aliyetaka kumuua Trump last year alitumwa na Iran basi huu mchezo hautaisha Leo.

Jifikirie tu TAL anakamata nchi October then?

Trump hawezi kuwaacha hao watu Kuna kitu kimo ndani ya mwili wake akifikiria lile tukio.
 
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:

Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
Atakufa kishujaa, lazima aache alama mbaya sana pale kwenye makao makuu ya mashoga 🌈
 
Back
Top Bottom