KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Nikupe namba ya KhameneiKwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:
Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
1. Unakosea, Iran ataendelea kuwepo dunianiKwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:
Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
Wamwambie libia, Iraq nk waliokutana na kadhia kali ya marekani hasa hasa Iraq imkanyeKwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:
Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
Aisee kumbe bado Tanzania ina vilaza wengi kiasi hiki?Mchezo aliyecheza Netanyau ndio hatari na ndio maana Sasa hivi anachapika kisawasawa
Alijua Marekani atamsaidia badala yake Marekani ameenda Irani amelipua vinu vya zamani vya Nyukilia na ndio maana Irani wamempotezea tu na kuendele kuitwanga Israel
Atakufa kishujaa, lazima aache alama mbaya sana pale kwenye makao makuu ya mashoga 🌈Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:
Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo anaocheza Irani dhidi ya Marekeni ni hatari sana kwa Irani?
Wamebaki wangapi?Viongozi wa Iran wako na akili timamu na wanajua wakifanyacho