Nani walileta utaratibu wa kutahiri wanaume na kuketa wanawake Africa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ?

Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama Yemen, Sudan, Saudi Arabia, Somalia, Chad, Indonesia, Iraq, Kuwait, Malaysia na Oman.

Kabla ya dini za Uyahudi na Uislamu watu walikuwa wanatahiriwa na kukeketwa?
 
Picha zaWamisri wa kale zinaonyesha watu weusi wakitahiriana. Pengine hao ndiyo waliwainspire jamii zingine zianze kutahiriana.
1748592798158.jpeg
 
itakuwa uislamu kwani wasomali wote wanawake wamekeketwa hata tanzagiza ni kule ambako caravani la utumwa na kubeba pembe za ndovu lilipita ndiyo wanakeketwa …
 
Tohara mbona ipo tangu zamani kwa jamii za kale kama za wayahudi/waebrania? Kina ibrahimu walitahiri watoto wao na mtu asiyetahiriwa alionekana hana maana, hata jamii zetu ilikuwa hupati mke mpaka utahiriwe na hupati mume mpaka ukeketwe kwa jamii zilizokuwa zinakeketa wanawake.
 
Hii p
Picha zaWamisri wa kale zinaonyesha watu weusi wakitahiriana. Pengine hao ndiyo waliwainspire jamii zingine zianze kutahiriana.
View attachment 3350599
Hii picha inaonesha watu weusi wakiwakeketa watu weupe haijulikani ni weupe wa kiarabu ama ni weupe tu kama wa huku kwetu warangi...

Hii inaonesha ngozi nyeusi ni aidha walikuwa na ujuzi ama walitumika kama watumwa kufanya kazi kama hizi.
 
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ?

Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama Yemen, Sudan, Saudi Arabia, Somalia, Chad, Indonesia, Iraq, Kuwait, Malaysia na Oman.

Kabla ya dini za Uyahudi na Uislamu watu walikuwa wanatahiriwa na kukeketwa?
Huo ni utamaduni wa mayahudi Kwa Africa umeanzia Ethiopia ambako mayahudi waliwahi ishi ndo maana masai na mang'ati hawawajui hao mabwana zenu mnaowatukuza lakini wanakeketwa na kutairiwa
 
Labda pia ndio maana wangoni hawatahiri
 
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ?

Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama Yemen, Sudan, Saudi Arabia, Somalia, Chad, Indonesia, Iraq, Kuwait, Malaysia na Oman.

Kabla ya dini za Uyahudi na Uislamu watu walikuwa wanatahiriwa na kukeketwa?
Mambo hayo
 
Nchi za kiarabu hawafanyi Ukeketaji.
images (67).jpeg

Na hata hio Nchi ya Kiarabu moja ambayo inafanya kwa u chache (Yemen) culture yake imeathiriwa sana na Ethiopia, wayemen kwa kipindi kirefu walitawaliwa na Empire za Ethiopia.

Ukeketaji ni huku kwetu East Africa na West Africa,

Pia Ukeketaji wanaofanya nchi za Asia ya Kusini Mashariki kama Indonesia na huku kwetu ni tofauti, wao hAwakati kile kidude huku tunakitoa kabisa.

Ukeketaji wetu Kwenye uisilamu ipo banned kabisa ni cultural za watu.

Ila kinachofanyika Indonesia (kwa definition nzuri hata sio ukeketaji) wanaondoa kingozi kile ili utamu uzidi, hii pia nchi za West wanafanya sana operation zake, Google hizi term "labiaplasty" au "clitoral Hoodectomy"
So ikitokea wewe unapiga bao 2 au 3 mwanamke haja fika kileleni kiisilamu inaruhusiwa (katika school of thought 4 mbili zinaruhusu mbili zinakataza)

Hata hapa Tanzania ukeketaji unafanyika kwa makabila ambayo sio ya waisilamu na wala hawana contact za waarabu

tanzania_prevalence_map_(june_2017).jpg

Kama unataka Story ya Ethnicity basi ni wasudan na Ethiopia Ethnicity zao, maana hio mikoa Mara, singida, Dodoma, Arusha wa kazi wake wengi sio wabantu bali wanatoka Ethiopia na Sudan makabila kama Wamasai, wambulu etc.
 
itakuwa uislamu kwani wasomali wote wanawake wamekeketwa hata tanzagiza ni kule ambako caravani la utumwa na kubeba pembe za ndovu lilipita ndiyo wanakeketwa …
Hii Ramani ya Tanzagiza na Ukeketaji
tanzania_prevalence_map_(june_2017).jpg

Kigoma na Tabora kote hakuna, Mikoa ya Pwani Mtwara, Lindi, Pwani, Dar, asilimia ndogo, hata Tanga FGM ipo Kilindi ambapo kunakaa makabila ya Manyara.

Wamasai walipigana na waarabu ila wana practice widely, same kwa makabila mengine ambayo siyo ya kibantu ukanda huo, wasomali, Sudan, Ethiopia, Chad, Nchi za sahel etc wote bila kujali dini zao wana practice na wote ukiekewa hapo mbele hutofautishi yupi ni yupi.
 
Hii p
Hii picha inaonesha watu weusi wakiwakeketa watu weupe haijulikani ni weupe wa kiarabu ama ni weupe tu kama wa huku kwetu warangi...

Hii inaonesha ngozi nyeusi ni aidha walikuwa na ujuzi ama walitumika kama watumwa kufanya kazi kama hizi.
Sio weusi ni wekundu, Watu wa Egpty ni wekundu hasa juani, hio ni Ethnicity ambayo ipo Sudan, Ethiopia Egpty etc wanaitwa wa Nubia.

Mfano mzuri ni Raisi wa Egpty Anwar Al sadat huyu ni Mnubia
images (68).jpeg

Historically Egpty utawala wake wagiriki, wasyria na nchi za nje wamekuwa wa tawala sana so probably inaonesha Mnubia akimtahiri mgiriki something like that.
 
Hii p
Hii picha inaonesha watu weusi wakiwakeketa watu weupe haijulikani ni weupe wa kiarabu ama ni weupe tu kama wa huku kwetu warangi...

Hii inaonesha ngozi nyeusi ni aidha walikuwa na ujuzi ama walitumika kama watumwa kufanya kazi kama hizi.
Huo ni ujuzi. Huwezi ruhusu kutahiriwa na mtumwa mjinga mjinga..
 
Back
Top Bottom