Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ?
Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama Yemen, Sudan, Saudi Arabia, Somalia, Chad, Indonesia, Iraq, Kuwait, Malaysia na Oman.
Kabla ya dini za Uyahudi na Uislamu watu walikuwa wanatahiriwa na kukeketwa?
Nchi za kiarabu hawafanyi Ukeketaji.
Na hata hio Nchi ya Kiarabu moja ambayo inafanya kwa u chache (Yemen) culture yake imeathiriwa sana na Ethiopia, wayemen kwa kipindi kirefu walitawaliwa na Empire za Ethiopia.
Ukeketaji ni huku kwetu East Africa na West Africa,
Pia Ukeketaji wanaofanya nchi za Asia ya Kusini Mashariki kama Indonesia na huku kwetu ni tofauti, wao hAwakati kile kidude huku tunakitoa kabisa.
Ukeketaji wetu Kwenye uisilamu ipo banned kabisa ni cultural za watu.
Ila kinachofanyika Indonesia (kwa definition nzuri hata sio ukeketaji) wanaondoa kingozi kile ili utamu uzidi, hii pia nchi za West wanafanya sana operation zake, Google hizi term "labiaplasty" au "clitoral Hoodectomy"
So ikitokea wewe unapiga bao 2 au 3 mwanamke haja fika kileleni kiisilamu inaruhusiwa (katika school of thought 4 mbili zinaruhusu mbili zinakataza)
Hata hapa Tanzania ukeketaji unafanyika kwa makabila ambayo sio ya waisilamu na wala hawana contact za waarabu
Kama unataka Story ya Ethnicity basi ni wasudan na Ethiopia Ethnicity zao, maana hio mikoa Mara, singida, Dodoma, Arusha wa kazi wake wengi sio wabantu bali wanatoka Ethiopia na Sudan makabila kama Wamasai, wambulu etc.