Hii Ramani ya Tanzagiza na UkeketajiView attachment 3350805
Kigoma na Tabora kote hakuna, Mikoa ya Pwani Mtwara, Lindi, Pwani, Dar, asilimia ndogo, hata Tanga FGM ipo Kilindi ambapo kunakaa makabila ya Manyara.
Wamasai walipigana na waarabu ila wana practice widely, same kwa makabila mengine ambayo siyo ya kibantu ukanda huo, wasomali, Sudan, Ethiopia, Chad, Nchi za sahel etc wote bila kujali dini zao wana practice na wote ukiekewa hapo mbele hutofautishi yupi ni yupi.
Ni katika kujiuliza tu, tungepata picha nyingine wakitibu magomjwa tofauti ndio tunasema ujuziHuo ni ujuzi. Huwezi ruhusu kutahiriwa na mtumwa mjinga mjinga..
Wa kiume hakeketwi anatahiriwa, na usipomtahiri utotoni utamtengenezea uoga mkubwa sana akiwa mtu mzima.Mwanangu wa kiume sitamkeketa...i just feel its painful...atatoa govi lake akiwa mkubwa kama anapenda lol
Ndio ila iweje tu hio mikoa miwili tu kwanini mikoa mingine isiathirike? Sababu imeanzia mikoa ya Pwani (haijaathirika) I kaenda hadi Tabora, Kigoma hadi Congo (kote hakujaathirika) why tu Dodoma na singida? Na kwanini Mikoa ya Juu Arusha na Manyara pia iathirike na haikuwepo Caravan huko?dodoma, singida, mpwapwa, manyoni, manyara kote karavani ilipita
Unaweza kuangalia status ya wanaotahiri au wanaokeketa leo kwenye jamii yao ikoje.Ni katika kujiuliza tu, tungepata picha nyingine wakitibu magomjwa tofauti ndio tunasema ujuzi
Huenda ujuzi huu walipewa hao weusi sababu ni ujuzi wa kidhalili mwanaume kuchezea dhakari ya mwenzio
Ngumu kulinganisha kwa jamii moja, huku kwenye jamii moja wanaheshimika, vipi kwa jamii mchanganyiko.Unaweza kuangalia status ya wanaotahiri au wanaokeketa leo kwenye jamii yao ikoje.
Misri na Iraq ni nchi za wabantu??Nchi za kiarabu hawafanyi Ukeketaji.
View attachment 3350730
Na hata hio Nchi ya Kiarabu moja ambayo inafanya kwa u chache (Yemen) culture yake imeathiriwa sana na Ethiopia, wayemen kwa kipindi kirefu walitawaliwa na Empire za Ethiopia.
Ukeketaji ni huku kwetu East Africa na West Africa,
Pia Ukeketaji wanaofanya nchi za Asia ya Kusini Mashariki kama Indonesia na huku kwetu ni tofauti, wao hAwakati kile kidude huku tunakitoa kabisa.
Ukeketaji wetu Kwenye uisilamu ipo banned kabisa ni cultural za watu.
Ila kinachofanyika Indonesia (kwa definition nzuri hata sio ukeketaji) wanaondoa kingozi kile ili utamu uzidi, hii pia nchi za West wanafanya sana operation zake, Google hizi term "labiaplasty" au "clitoral Hoodectomy"
So ikitokea wewe unapiga bao 2 au 3 mwanamke haja fika kileleni kiisilamu inaruhusiwa (katika school of thought 4 mbili zinaruhusu mbili zinakataza)
Hata hapa Tanzania ukeketaji unafanyika kwa makabila ambayo sio ya waisilamu na wala hawana contact za waarabu
View attachment 3350777
Kama unataka Story ya Ethnicity basi ni wasudan na Ethiopia Ethnicity zao, maana hio mikoa Mara, singida, Dodoma, Arusha wa kazi wake wengi sio wabantu bali wanatoka Ethiopia na Sudan makabila kama Wamasai, wambulu etc.
Ulaya haijawahi kuwa na ukeketaji, hata tohara kwa wanaume ilianza kushika kasi karne ya 18.Ingawa ukeketaji umeenea katika nchi nyingi za Kiarabu na zile zilizoathiriwa na utamaduni wa Kiarabu, si sahihi kusema kuwa mila hii ililetwa Afrika na Waarabu pekee. Badala yake, ni mila ambayo imekuwa sehemu ya tamaduni za jamii nyingi kwa muda mrefu, na sababu zake zinahusiana na imani za kijamii, kidini, na hata udhibiti wa jinsia
Hebu fuatilia uingereza ni zaidi ya wanawake laki sita wanakeketwa kila mwaka hizi ni tafiti zimefanywa na BBC au uingereza haipo ulayaUlaya haijawahi kuwa na ukeketaji, hata tohara kwa wanaume ilianza kushika kasi karne ya 18.
Wahamiaji hao, Uingereza inapitia changamoto kubwa sana za tamuduni zinazoletwa na wahamiaji kutoka nje. Ipo siku watakuja kuzuka mamlakani MAGA wa Uingereza.Hebu fuatilia uingereza ni zaidi ya wanawake laki sita wanakeketwa kila mwaka hizi ni tafiti zimefanywa na BBC au uingereza haipo ulaya
Sawa, ngoja nizidi kupata elimu zaidi kuhusu hilo kwa uingerezaWahamiaji hao, Uingereza inapitia changamoto kubwa sana za tamuduni zinzoletwa na wahamiaji kutoka nje. Ipo siku watakuja kuzuka mamlakani MAGA wa Uingireza.
Misri sio waarabu asili wamekuwa tu arabized same na Sudan,Misri na Iraq ni nchi za wabantu??