Nani wapo nyuma ya Polepole? CCM wanamlinda?

Sijamtaja Magufuli.
Sijataja Sukima Gang.
Sjaitaja Serikali.
Mimi nimejikita kwenye hoja ya mletamada, na ndiomaana nime comment kwa mtindo wa swali ama mshangao.
Ebu turudi kwenye hoja mkuu
Umejibiwa kwa swali,hebu jibu usifiche kichwa kwenye majani kama kifaranga cha kuku mkia ukiwa nje

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Punguza ukabila. Jina lako na fikra zako tu zinaonyesha wewe ni kundi lile la kanda ya ziwa. Hizi fikra zimeletwa na Magufuli, za kutaka kutugawa Watanzania. Mshindwe na nguvu zenu za kiza na mawazo finyu.
Huna akili kila wakati unamtaja Magufuli vipi una mimba yake nini?
 
Polepole yuko hivyo hivyo kuanzia Primary school
 
Mwacheni atimize haki yake ya kidemokrasia. Watu mazezeta na wenye akili ndogo ndio watamuona huyu jamaa hayuko Sawa.
 
Kwa hiyo kuna kundi kubwa kuliko lile la Lowasa?!!
 
Sijamtaja Magufuli.
Sijataja Sukima Gang.
Sjaitaja Serikali.
Mimi nimejikita kwenye hoja ya mletamada, na ndiomaana nime comment kwa mtindo wa swali ama mshangao.
Ebu turudi kwenye hoja mkuu
Sukuma gang....
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha huyo!!!
Kama kweli mnaona polepole na sukuma gang mnaonewa tuunganeni wote tuunde katiba mpya itakayolinda maslah ya wote kwa usawa. Siyo hii ya sasa mnapanua midomo yenu mnaponyimwa vyeo tu..mkipewa vyeo mnaanza kuwatukana, kuwateka na hata kuwaua wasiyo ccm.
 
Ndio maana wenzetu wanakimbia sisi ndio tunajifunza kukaa🤔.
 
Maneno ya ovyo ni yale yasiyo na context. Na malengo kusudio. Bila msimamo ndani yake ...
 
Majibu ya swali lako utayapata very soon. Ukiona mtoto mchanga aliyefiwa na wazazi anakataa chakula kisicho na chumvi ujue anakaribia kufa naye wakati wowote maana wazazi wake wsliotakiwa kumnunulia chumvi hawapo alishawazika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…