Hivi unaelewa kama tunajinyima sana kuwalipia school fees shule za gharama halafu watoto wenyewe hamna akili?Habari za jioni wadau!
Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu nimeona kidogo huwezi kosa hela ya dagaa na bia mbili nje ya mshahara. Sasa naomba mnisaidie kwa wizarani au taasisi za serikali kati ya hizo fani mbili ipi unaweza kula kwa urefu wa kamba kuliko nyingine iwe kwa deal halali au haramu.
Karibuni kwa uzoefu wenu.
Mimi sio mtoto mkuu soma vizuri Uzi wanguHivi unaelewa kama tunajinyima sana kuwalipia school fees shule za gharama halafu watoto wenyewe hamna akili?
Ahsante sana kwa mchango wakoWatu wa Procurement wanapiga pesa vibaya sana
Kina wenyewe kilekama unataka kupiga vizuri bila wasi kasomee urais kwa tiketi ya CCM. I mean somea urais
Kupiga hela au kwenda jela?😀Habari za jioni wadau!
Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu nimeona kidogo huwezi kosa hela ya dagaa na bia mbili nje ya mshahara. Sasa naomba mnisaidie kwa wizarani au taasisi za serikali kati ya hizo fani mbili ipi unaweza kula kwa urefu wa kamba kuliko nyingine iwe kwa deal halali au haramu.
Karibuni kwa uzoefu wenu.
Kabla hajapata kazi ameshapanga kupigaWatanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.
Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
We bado mtoto usikatae😀Mimi sio mtoto mkuu soma vizuri Uzi wangu
Kabisa na ni wengi uwa nawasikia ila si ile kazi unapata videal flani vya upigaji wakati kazi hajapata badoKabla hajapata kazi ameshapanga kupiga
Semester ya mwisho hiyo, anaamini mwisho wa Semester July yeye atakuwa ni boss la maboss mjini🤣Kabla hajapata kazi ameshapanga kupiga
Wewe ni mtoto huu mwandiko wako ni ushahidi.Mimi sio mtoto mkuu soma vizuri Uzi wangu
Toyota Crown ili Kidimbwi parudike muda wowote.Semester ya mwisho hiyo, anaamini mwisho wa Semester July yeye atakuwa ni boss la maboss mjini🤣
Kijn amenizikitisha sna na punguani haswa.Wewe ni mtoto huu mwandiko wako ni ushahidi.
First born wangu namlipia cash University wala sijataka aangaike na bodi ya mikopo, halafu nikiona watoto tunaowaangaikia wasome hawana akili.
Kwanza si lazima upate kazi ya kile ulichosomea, Hussein Mwinyi ni daktari wa binadamu na hajafanya hata internship wala kupractise huo udaktari wake.
Kingine ambacho ndio muhimu sana unaposoma University au chuo chochote lengo kuu ni uwe na akili na maarifa ya kuweza kusurvive duniani na kuajiliwa si lazima.
Naandika kama mzazi inatia uchungu sana ukiona kijana wako hana akili licha kuinvest pesa nyingi na nguvu nyingi kumsomesha.
Ukiwa na wazo la kupiga wewe tayari akili huna.