Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Kabisa na ni wengi uwa nawasikia ila si ile kazi unapata videal flani vya upigaji wakati kazi hajapata bado
Mazingira ya nchi yetu ndivyo yalivyo mkuu ukiwa mzalendo watoto wako hawatapanda school bus
 
Kwanza acha mawazo ya kupiga kuwa Mzalendo na mwaminifu
Mwenye degree salary laki 7, mbunge ambae qualification yake kujua kusoma na kuandika salary milioni 11.
Hapo kuna uzalendo?
 
HAPANA hauko serious unakuja kuomba jinsi ya kuibia watanzania HV Nani ametuloga badla ufikiri namna Bora ya kuisaidia serekali kubapamban na ubadhirifu wew unakuja Happ kuomba kufundishwa idara gani inapendeza kuiba Zaid

Wew naona kbsa segerea inakuita au keko hapa inakuita usicheze na serekali usizani Kam imelala uzingizi shauri yako
IPI kati ya hizo fani mbili naweza kula vizuri?
Hayo mengine ya jela niachie nipambane nayo.
 
tuachane na takataka zooote, nimeishi nikajua kuwa kazi inayolipa kuliko zoote hapa duniani ni uanasiasa. trust me, ndio watu wanaopata hela kuliko profession zote, kwa kuchezesha tu maneno ya kisiasa na kuchezea akili za watu. sometimes utadhani ni maadui ila ikifika mahali kwenye common interest, wanakutana wanayajenga then wanarudi wote kuwadanganya raia kuwa yameisha wagange yajayo (kumbe wote wanataka wasiloose).
Unanishauri niingie kwenye siasa?
 
Si ulisema halali au sio halali au?
Mfano kununua nguzo ya umeme bei ya serikali laki 1. Mimi nikitafuta mtu akaniuzia elfu 40 hapo nimebakiwa na elfu 60.
Huo sio wizi bali ni ujanja tu.
 
Wewe ni mtoto huu mwandiko wako ni ushahidi.

First born wangu namlipia cash University wala sijataka aangaike na bodi ya mikopo, halafu nikiona watoto tunaowaangaikia wasome hawana akili.

Kwanza si lazima upate kazi ya kile ulichosomea, Hussein Mwinyi ni daktari wa binadamu na hajafanya hata internship wala kupractise huo udaktari wake.

Kingine ambacho ndio muhimu sana unaposoma University au chuo chochote lengo kuu ni uwe na akili na maarifa ya kuweza kusurvive duniani na kuajiliwa si lazima.

Naandika kama mzazi inatia uchungu sana ukiona kijana wako hana akili licha kuinvest pesa nyingi na nguvu nyingi kumsomesha.

Ukiwa na wazo la kupiga wewe tayari akili huna.
Mkuu umeongea kwa hisia sana. Japo unachenga kuniambia wewe ni mzaliwa wa mkoa gani.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mo dewj au bakhresa anafanya kazi gani kati ya hizo? Kama hakuna Kati ya hizo bas bado una safari ndefu ya kupiga pesa

Alafu utakuja kufungwa upotelee mbali we endelea tu kuleta uzi huku umevaa earphones na malapa meupe na soks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mama wa Biharusi tumempa jukumu la Kamati ya Maandalizi ya harusi ya binti yale kwenda kutafuta Kuku wa shughuli ya Mwanae kenda kutuletea Vikuku kama njiwa halafu bei ya Juu tukajua kapigwa kwa ule utuu uzima wake …kufuatilia kumbe kacheza dili na Muuzaji wapate kama elf 5 kwa kila vikuku vile vya sijui wiki nne tu


Unapambana kujibana ujenge kijumba chako pekee kwny uhai wako unamshirikisha Mkeo wa maisha lakin cha ajabu huyo huyo anashirikiana na mafundi kuiba
Watanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.
Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
 
Back
Top Bottom