- Thread starter
- #101
Wewe umenielewa, wako watu wanamaliza degree ya aina moja mfano uhandisi. Mmoja akiwa halmashauri laki 9 mwingine akienda Tanroad milioni 2 na point + allowances. Mfumo huu usharibika tayari na hakuna wa kuurekebisha. Ngoja na sisi tutafute kamba tuanze kulaNyie mnaongea tu ila haya mambo yanaumiza sana kwa sababu hakuna usawa.
Ukiacha mambo mengine ya kibinadamu unamlipaje Mwalimu wa Degree 460k halafu mtu fani nyingine unamlipa 6M. !!??
HAMJAMUELEWA MLETA MADA. MLETA MADA NI MTUMISHI WA SERIKALI MIONGONI MWA WALE WANAO TESEKA NA GAP HAPO JUU.