Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Yaani ni laana fulani hivi!Watanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.
Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni laana fulani hivi!Watanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.
Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
Tatizo ni kwamba hata viongozi wetu wanatoa kauli tata ambazo hazihamasishi uzalendo.Kwanza acha mawazo ya kupiga kuwa Mzalendo na mwaminifu
Habari za jioni wadau!
Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi.
Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu nimeona kidogo huwezi kosa hela ya dagaa na bia mbili nje ya mshahara.
Sasa naomba mnisaidie kwa wizarani au taasisi za serikali kati ya hizo fani mbili ipi unaweza kula kwa urefu wa kamba kuliko nyingine iwe kwa deal halali au haramu.
Karibuni kwa uzoefu wenu.
Kwa wazir mkuu kbsaMfano umeambiwa wapangie hawa wageni hoteli yenye thamani ya laki 5 kwa siku. Wewe ukaenda hotelini ukaongea vizuri wakakubali kwa laki 4. Hiyo laki moja uirudishe wapi kwa katibu mkuu au kwa mkuu wa idara?
Umeongea kwa hisiaWewe ni mtoto huu mwandiko wako ni ushahidi.
First born wangu namlipia cash University wala sijataka aangaike na bodi ya mikopo, halafu nikiona watoto tunaowaangaikia wasome hawana akili.
Kwanza si lazima upate kazi ya kile ulichosomea, Hussein Mwinyi ni daktari wa binadamu na hajafanya hata internship wala kupractise huo udaktari wake.
Kingine ambacho ndio muhimu sana unaposoma University au chuo chochote lengo kuu ni uwe na akili na maarifa ya kuweza kusurvive duniani na kuajiliwa si lazima.
Naandika kama mzazi inatia uchungu sana ukiona kijana wako hana akili licha kuinvest pesa nyingi na nguvu nyingi kumsomesha.
Ukiwa na wazo la kupiga wewe tayari akili huna.
Mlipaji ndo Lila kitu na ndo huyo mhasibuAfisa manunuzi kwa kuwa anafanya kazi na watu wa nje. Kuna bonus za commision za kuleta wateja na cha juu pia iwapo opportunity itatokea.
Humu wanaoshauri uzalendo wengi wanafiki hao hao ndio wanahonga ili kampuni zao zipewe tenda serikalini ili wauze cement mfuko elfu 30 wakati wao wanachukua kiwandani elfu 9.Tatizo ni kwamba hata viongozi wetu wanatoa kauli tata ambazo hazihamasishi uzalendo.
Kiongozi mkuu anaposema, 'ule sawa na urefu wa kamba yako..usile mpaka uvimbiwe'.
Kauli kama hizi zinahamasisha wizi haswa kwa hawa vijana wadogo.
Ahsante sana mkuuMlipaji ndo Lila kitu na ndo huyo mhasibu
Acha na Mtu anayeitwa mlipaji
Achana na mshahara wa laki 7 baada ya makato inabaki laki 4Wote wanapewa mshahara, kwa hiyo wote wa napiga hela.
Trust me,wewe ni mtoto,tena mtoto mjinga.Ni hasara kuwa na vijana waliosoma wenye mawazo kama haya.Lakini ni hasara zaidi Kwa taifa kuwa na vijana wenye kuthubutu kuandika haya hadharani.Mimi sio mtoto mkuu soma vizuri Uzi wangu
Utafanyeje kama miaka 7 maisha yanapanda ila kipato chako kiko pale pale kisa uhakiki?Yaani ni laana fulani hivi!
Uwizi ndiyo jadi yetuWatanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.
Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
Wachaneee haooooWewe ni mtoto huu mwandiko wako ni ushahidi.
First born wangu namlipia cash University wala sijataka aangaike na bodi ya mikopo, halafu nikiona watoto tunaowaangaikia wasome hawana akili.
Kwanza si lazima upate kazi ya kile ulichosomea, Hussein Mwinyi ni daktari wa binadamu na hajafanya hata internship wala kupractise huo udaktari wake.
Kingine ambacho ndio muhimu sana unaposoma University au chuo chochote lengo kuu ni uwe na akili na maarifa ya kuweza kusurvive duniani na kuajiliwa si lazima.
Naandika kama mzazi inatia uchungu sana ukiona kijana wako hana akili licha kuinvest pesa nyingi na nguvu nyingi kumsomesha.
Ukiwa na wazo la kupiga wewe tayari akili huna.
Nyie mnaongea tu ila haya mambo yanaumiza sana kwa sababu hakuna usawa.Mama wa Biharusi tumempa jukumu la Kamati ya Maandalizi ya harusi ya binti yale kwenda kutafuta Kuku wa shughuli ya Mwanae kenda kutuletea Vikuku kama njiwa halafu bei ya Juu tukajua kapigwa kwa ule utuu uzima wake …kufuatilia kumbe kacheza dili na Muuzaji wapate kama elf 5 kwa kila vikuku vile vya sijui wiki nne tu
Unapambana kujibana ujenge kijumba chako pekee kwny uhai wako unamshirikisha Mkeo wa maisha lakin cha ajabu huyo huyo anashirikiana na mafundi kuiba
Ndugu kila la kheri tatizo watanzania ni wanafiki tu yeye analipwa 12M wewe unalipwa 300k kwa nini usifikirie kufanya vinginevyo...!!Nashukuru sana mkuu kwa mchango wako wa kiuweledi. Hawa wengine wananitisha wakati wao wanaendesha Harrier new model au Dualis kwa mishahara ya laki 7 inawezekana vipi? Wanafiki wakubwa.
Tatizo ubinafsi na hakuna usawa.Na bado tunashangaa kwanini kama Taifa / Nchi tunapiga hatua kila siku za kurudi nyuma ?
Ukweli ni kwamba kama Taifa kuanzia viongozi mpaka wananchi tume-lose the Plot..., Yaani utafikiri tupo kwenye nchi ya kupanga na sio nchi yetu....
Tunabomoa / chukua mbao za milango ili tujenge madirisha
Habari za jioni wadau!
Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi.
Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu nimeona kidogo huwezi kosa hela ya dagaa na bia mbili nje ya mshahara.
Sasa naomba mnisaidie kwa wizarani au taasisi za serikali kati ya hizo fani mbili ipi unaweza kula kwa urefu wa kamba kuliko nyingine iwe kwa deal halali au haramu.
Karibuni kwa uzoefu wenu.
Mwambie bana!!siku hizi hata mhasibu hakutani na pesa zaidi ya makaratasi tu!!Ilikua zamani kabla mfumo wa kidigtal mkuu nowadays njaa