Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Afisa Manunuzi......Kuwa makini ulichoandika kinaweza kutumika kama ushahidi dhidi yako😂
 
Manunizi achanaaa naoooo...!! Yani hao ni maboss
 
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Sasa hapa kijana anatafuta aina ya kamba, either manilla au kudu.
Mwisho wa siku kaa ukijua mbuzi anakula kwa neema ya mchungaji. Be careful. Ukiingua 18 za serikali, ndo utaelewa maana ya neno "upigaji"
 
Kamba ya procurement ni ndefu ukipata channel
 
Afisa manunuzi kwa kuwa anafanya kazi na watu wa nje. Kuna bonus za commision za kuleta wateja na cha juu pia iwapo opportunity itatokea.
 
Mhasibu hashiki pesa. Ni makaratasi karatasi tu yaliyoandikwa pesa. Wanao weza wakashika pesa ni mameneja, watu wa masoko na maafisa ununuzi.
 
Taneps imeshawavuruga
Still bado. Maana hata ukishinda tenda bado utahitaji kuwa karibu na procurement. Na hata kabla ya kushinda ni procurement ndo atakuambia ni nn cha kufanya kuongeza chance ya kuipata hiyo Tenda. Hata info tu kuwa price zako zichezee wapi ili zisiwe juu sana wakakuona ni ghali na zisiwe chini sana wakakuona unaweza shindwa kazi baadae ukaanza kulia lia ni ya muhimu na inakuhitaji ufahamiane na procure.
 
Mo dewj au bakhresa anafanya kazi gani kati ya hizo? Kama hakuna Kati ya hizo bas bado una safari ndefu ya kupiga pesa

Alafu utakuja kufungwa upotelee mbali we endelea tu kuleta uzi huku umevaa earphones na malapa meupe na soks
 
tuachane na takataka zooote, nimeishi nikajua kuwa kazi inayolipa kuliko zoote hapa duniani ni uanasiasa. trust me, ndio watu wanaopata hela kuliko profession zote, kwa kuchezesha tu maneno ya kisiasa na kuchezea akili za watu. sometimes utadhani ni maadui ila ikifika mahali kwenye common interest, wanakutana wanayajenga then wanarudi wote kuwadanganya raia kuwa yameisha wagange yajayo (kumbe wote wanataka wasiloose).
 
Back
Top Bottom