mosesnicolus
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 285
- 25
jaman gsport inapatikanaje?
ehee, naona wanakuja, karibu patachangamka, Jawilat nimefika. jerry sijui leo kapata mwaliko wa weekend?
jaman gsport inapatikanaje?
ni kifaa cha mchezo gani?
Story zikikolea mniite.
mnamuongelea gspot? ndio M2?
ni kifaa cha mchezo gani?
sijalala naboeka na bss hapa
sijalala naboeka na bss hapa
Wenye banda lao ndio wanaingia vooo!!! Jerrymsigwa@farkhina@rugebwe78@bily mko wapi?
nimekutana na ---- zinatoa harufu nzito coco! nishaiii