Mlinzi hahaha acha kutuibia bana, we mlinzi ulinde na uko Jf? Na sa kumi kasoro hii ndio wezi wanapita pita dah kama kwel pole snaa mkuu lkn sio haba salary ya voda si $20ph?
Mlinzi hahaha acha kutuibia bana, we mlinzi ulinde na uko Jf? Na sa kumi kasoro hii ndio wezi wanapita pita dah kama kwel pole snaa mkuu lkn sio haba salary ya voda si $20ph?
Hahhahhha kwani huna neti?...hiyo ngoma njoo uniuzie mie nataka kuanzisha bendi...lol
Mkuu@Jerrymsigwa wapi hawa voda wangekuwa wanalipa hivyo bado wale wa ofisini wangekuwa walinzi kama sisi,
Hapa najivunia kuwa hapa bush nzima naonekana mtu muhimu sana,maana toka uhuru hakuna umeme hapa,kwa hiyo simu zote wanachaji hapa
Hiyo stori yako mbona siioni ?
Duh aisee pole sana, hao mbu angalia bana unaeza kuta asbh una upungufu wa nusu lita ya damu
Kweli kaka,ila Nashkuru kwa hiki kibarua hata madukani nakopesheka bila tabu
Ninavyojua walinzi watongozaji sana wa mahouse girls, hasa wale walinzi wa mchana magetini. Hiyo ndio sifa yenu mlio wengi
Hahha sio kweli mkuu,unajua mabeki 3 wao ndio wanapenda kutushobokea,Mara kakuletea nyama uonje,Mara akuita umsaidie jikoni hapo full mitego
unajuaje kama sijafanya ibada? watu wengine kwa kuhukumu bwana!
haya leta hizo story...
Mi bado nimelala..kwani kumekucha?
halo.! mr jerry na wenzako hongera kwa kuvuta uzi mpaka asubuhi watu wameamka. ila farkhina kalala weee, afu kaamka eti ndo anasema kakesha. nimeamini jf iko na watu 24hrs