Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Mlinzi hahaha acha kutuibia bana, we mlinzi ulinde na uko Jf? Na sa kumi kasoro hii ndio wezi wanapita pita dah kama kwel pole snaa mkuu lkn sio haba salary ya voda si $20ph?

Huyo mlinzi wa kisasa....analinda kwa computer lol...
Alafu ya cctv ipo jf lol
 
Mlinzi hahaha acha kutuibia bana, we mlinzi ulinde na uko Jf? Na sa kumi kasoro hii ndio wezi wanapita pita dah kama kwel pole snaa mkuu lkn sio haba salary ya voda si $20ph?

Mkuu@Jerrymsigwa wapi hawa voda wangekuwa wanalipa hivyo bado wale wa ofisini wangekuwa walinzi kama sisi,
Hapa najivunia kuwa hapa bush nzima naonekana mtu muhimu sana,maana toka uhuru hakuna umeme hapa,kwa hiyo simu zote wanachaji hapa
 
Hiyo stori yako mbona siioni ?
 
Duh aisee pole sana, hao mbu angalia bana unaeza kuta asbh una upungufu wa nusu lita ya damu
 
Ninavyojua walinzi watongozaji sana wa mahouse girls, hasa wale walinzi wa mchana magetini. Hiyo ndio sifa yenu mlio wengi
 
Hahha sio kweli mkuu,unajua mabeki 3 wao ndio wanapenda kutushobokea,Mara kakuletea nyama uonje,Mara akuita umsaidie jikoni hapo full mitego
 
Hahaaha nimetongozewa mabek 3 sana aisee, nyie walinzi balaa sana. Nadhani kwa vile mda mwingi mnakuwa mmekaa kuna baadhi ya viungo huwa vimerelax sana so mawazo yalee yanakuja
 
Haya wale wa kuamka na kusali sa11 hiyo tune radio times 100.5 Fm wale wa Tunein tuungane Mungu katuamsha salama! Heaven on Earth amka BUBUmsemaovyo amka washa washa amka
 
Last edited by a moderator:
halo.! mr jerry na wenzako hongera kwa kuvuta uzi mpaka asubuhi watu wameamka. ila farkhina kalala weee, afu kaamka eti ndo anasema kakesha. nimeamini jf iko na watu 24hrs
 
Niko niko gado bado Rugwebe vipi za kuamka
 
Back
Top Bottom