Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Wapo ila nilidhani utakuwa umeshafanya tathmini yako ya angalau majina mawili ili tuwajadili !!
Kama wapo ni jambo jema tushikamane kwa umoja wetu tushinikize mamlaka ya uteuzi ivunje baraza la mawaziri waje wengine na wao walitumikie taifa sio hao waliozoea kubebwa na majina ya familia zao
 
Back
Top Bottom