Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Kama wapo ni jambo jema tushikamane kwa umoja wetu tushinikize mamlaka ya uteuzi ivunje baraza la mawaziri waje wengine na wao walitumikie taifa sio hao waliozoea kubebwa na majina ya familia zaoWapo ila nilidhani utakuwa umeshafanya tathmini yako ya angalau majina mawili ili tuwajadili !!