JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii nchi?
Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.
Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.
Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.
Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?
Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?
Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.