Nani yuko nyuma ya Nape? Mbona ana dharau kiasi hiki?

Ndio uwezo wa aliye na mamlaka wa kufanya anachojiaikia ,
Hasa ukizingatia bosi mwenyewe elimu kaunga unga na super glue sasa unategemea atachagua watu wa aina gani?
Na wanazidi kumhakikishia magoli ya mikono 2025
Tatizo hapa sasa si huyo mwenye elimu ya kuungaunga, tatizo hapa ni wewe mwenye ELIMU BOMBA KABISA NA ILIYONYOOKA SWAAAAAFI kujiweka mbali na hatimae tunapatwa na hao wasio na elimu. Njoo bwana msomi utuokoe!!
 
Nape kanyaga hivo hivo hadi CHAKUBANGA AKILI
🤣🤣🤣

Wanatoa shiti halafu wanataka mtu akae kimya tu siku zote, siku moja moja unawapiga km hivyo ili wajue kuwa uhuni ni jambo la kuamua tu kuwa au la. Halafu mbona hatuwekewa comment ya aliyejibiwa?!!!!!! Naona jibu la nape tu basi.
 
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.

Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.

1. Hajabarehe? Hajakua?

2. Anahati miliki na hii nchi?

Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.

Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.

Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.

Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?

Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?

Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.

View attachment 2217197
Wewe roho inakuuma nini? Mbona Musiba mlimwita mwanaharakati huru?

Usitake kupangia watu maisha yao. Acha wivu.
 
Huyo nafikiri hayupo sawa kiakili.Kwa kuwa Kikwete aliwahi kusema Mwenezi wetu hauwezi kujua ataongea kitu gani.Analopoka tu.Kwa ufupi hajitambui na hajielewi.Yupo yupo tu.Muda utamhukumu.
Hajitambui yupo yupo tu wakati yeye ni Waziri na wewe unapuyanga?
 
Ndio uwezo wa aliye na mamlaka wa kufanya anachojiaikia ,
Hasa ukizingatia bosi mwenyewe elimu kaunga unga na super glue sasa unategemea atachagua watu wa aina gani?
Na wanazidi kumhakikishia magoli ya mikono 2025
ukiangalia kwa karibu viongozi wengi wa sasa waliopewa madaraka elimu ni ya kuunga unga😅
 
Wewe roho inakuuma nini? Mbona Musiba mlimwita mwanaharakati huru?

Usitake kupangia watu maisha yao. Acha wivu.
Nikajua una point kumbe povu?

Hata hivyo povu lako halitoshi. Ongeza.

Ila mwambie, Mtumishi wa Umma akitokwa na povu hasa kwenye media hafai.

Akitaka kutukanana na watu aachie office, anatakiwa ajue yeye ni Mtumishi wa watu wote.
 
Ndio uwezo wa aliye na mamlaka wa kufanya anachojiaikia ,
Hasa ukizingatia bosi mwenyewe elimu kaunga unga na super glue sasa unategemea atachagua watu wa aina gani?
Na wanazidi kumhakikishia magoli ya mikono 2025
Bora magoli ya mikono kuliko yale magoli ya 2020
 
Hadi Kigogo2014 amekuwa na dharau siku hizi!
 
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.

Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.

1. Hajabarehe? Hajakua?

2. Anahati miliki na hii nchi?

Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.

Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.

Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.

Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?

Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?

Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.

View attachment 2217197
Anayewapa kiburi Ni marehemu baba zao. Wako pale siyo kwa vile wako smart upstairs,NO, , Bali Ni migongo ya Moses Nnauye baba yake ambaye alikuwa rafiki wa Nyerere eti wao Ni wajamaa. Sasa huyu kijana zero brain anapata tuvyeo hutu kwa ajili ya Baba yake, vinginevyo kichwani hamna kitu kabisa. Sawa na Rizt Kikwete, Ni migongo ya baba zao, vichwani Ni empty sets
 
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.

Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.

1. Hajabarehe? Hajakua?

2. Anahati miliki na hii nchi?

Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.

Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.

Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.

Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?

Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?

Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.

View attachment 2217197
Huo ujumbe una tatizo gani? maana alimjibu mmbea fulani, tatizo lipo wapi hapo
 
Back
Top Bottom