Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipango ya Vasco Dagama!moja ya ajabu awamu hii ni Riz1 kuwa waziri wa rasilimali nyeti kama ardhi
Ccm. Ni mali yaoNajaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii nchi?
Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.
Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.
Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.
Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?
Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?
Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.
View attachment 2217197
Ww ndio una akili ndogo Kama punje ya mchele.Sio wote waliomo humu wanapuyanga.Tupo kutetea maslahi endelevu ya Taifa.Tuna professional zetu za uhakika.Huo uwazir unatolewa na mtu dak moja.Lakin Professional yangu nitazeeka nakula tu .Wewe na Nape hamjitambui.Hajitambui yupo yupo tu wakati yeye ni Waziri na wewe unapuyanga?
Parachichi limekosa mbolea kwelikweli
Kipindi cha mukubwa JPM alitembea kwa magoti huyu toka getini ikulu mpaka ikulu house.
Na akaomba msamaha live.
Na JPM akamrudisha kundini.
Kuna Njanuary hatujui alitembea kwa magoti sa ngapi labda akiongozana na babaake.
Kuna huyu Mwichemba baada ya kuchunga kondoo sana kwao nduguti huko alipiga na kutembea magoti sa ngapi.
Wote JPM aliwasamehe na akawarudisha kwenye system.
Angewabwaga msingekuwa hapo msimtukane marehemu.
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii nchi?
Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.
Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.
Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.
Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?
Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?
Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.
View attachment 2217197
Analindwa na Mze wa kubembea Jamaika, Msomali wa Tanga, Mze wa ACT, Membe.Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii nchi?
Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.
Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.
Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.
Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?
Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?
Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.
View attachment 2217197
Teh teh swali zuriBashite na Musiba nani alikua nyuma yao?
Sitetei ujinga ila tujue nani pia alikua nyuma ya hao watu?