Nani yuko nyuma ya Nape? Mbona ana dharau kiasi hiki?

Brigadia Nnauye aliwajenga kisiasa vijana ndani ya Jeshi wakiwemo Kapteni Makamba, Kikwete na Kinana na hawa wanalipa fadhila ya Brigadia kwa kizazi chake.
Wanamuogopa mtoto wa marehemu?

Tutawaonyesha.
 
Huyo jamaa akili ndogo mno hazijai kisoda msamehe tu atajifunza baada ya muda kupita...
 
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.

Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.

1. Hajabarehe? Hajakua?

2. Anahati miliki na hii nchi?

Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja.

Tangu enzi zile alipokua anamchafua Lowasa, akaja lile sakata la kutaka kumchafua Mwendazake. Akafuatia kauli za kejeri zidi ya Polepole.

Sasa amepewa madaraka amekuwa kama mwehu Fulani. Kila siku kuwabagaza tu wenzie, hataki kukosolewa, anatukana watu hadharani.

Huyu ni waziri Mtumishi wa Umma. Kwa Nini atukane watu?

Mamlaka za uteuzi Huwa hazitoi seminar?

Nilitaka kupendekeza apumuzishwe, ila sizani kama itaeleweka kwa walamba Asali.

View attachment 2217197
State criminal syndicate iliyomuua magufuli ikasingizia tatizo la moyo
 
Wakati wa Mzee alikuwa chwiiiiiii...! Kufa kufaana...!
 
Rais samia atengua uteuzi wa wizara ya habari,sanaa na uweukaji hovyo.
 
Back
Top Bottom