Nani yuko The Calabash mwenge hapa saivi??..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Wakuu,
Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa,
Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko anapata kilaji,marumbusi au kuchek game ya arsenal vs stock, njoo hapa kaunta upate ofa ya kinywaji kutoka kwa donlucchese 'The McLaren Theorem guy'
 
Nawaona mpo wengi hapo Kaunta Mkuu. Nikutambuaje nisijekufaramia mtu kumbe nimeenda chaka.
 
Duhhhh nahisi kuna watu washakodi bodaboda wanakuja. Baada ya 30min utakimbia tu
 
Wakuu,
Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa,
Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko anapata kilaji,marumbusi au kuchek game ya arsenal vs stock, njoo hapa kaunta upate ofa ya kinywaji kutoka kwa donlucchese 'The McLaren Theorem guy'
Nipo nyuma yako mkuu
 
Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.
yan watu mnavituko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we nenda ukapate kilaj acha kumchambua
 
Calabash aiseeee hiyo Bar ni shidaaaa haichuji tu weekend ndo Balaa mie nakuja Mida ya SAA tatu.Jana palifurika kama kawaida
 
Back
Top Bottom