Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.
If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame alone right? Not a woman. But the moment a man chooses to go extra miles, drill himself, deprive himself of temporary fun just to focus on his growth, a woman suddenly becomes the one behind his success.
Kila siku mtandaoni na mitaani tunaona wanaume wanakutana na mabalaa kibao. Wengine ni ombaomba, wengine wanaiba wanakamatwa na kuchomwa moto. Hatujawahi kusikia mwanamke akifungamanishwa na hawa wanaume lakini mwanaume akitoboa ndio unasikia "mwanamke kaleta baraka"
Tumpe mwanaume pongezi zake yeye mwenyewe binafsi. Mwanaume ndie anastahili pongezi kwa kazi yake, yeye ndie amefanikisha kila kitu sio mwanamke ambaye angeona hakuna dalili ya mafanikio asingesogea hata karibu.
He did it himself, he made something from nothing. So let us cherish him himself.