Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.

If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame alone right? Not a woman. But the moment a man chooses to go extra miles, drill himself, deprive himself of temporary fun just to focus on his growth, a woman suddenly becomes the one behind his success.

Kila siku mtandaoni na mitaani tunaona wanaume wanakutana na mabalaa kibao. Wengine ni ombaomba, wengine wanaiba wanakamatwa na kuchomwa moto. Hatujawahi kusikia mwanamke akifungamanishwa na hawa wanaume lakini mwanaume akitoboa ndio unasikia "mwanamke kaleta baraka"

Tumpe mwanaume pongezi zake yeye mwenyewe binafsi. Mwanaume ndie anastahili pongezi kwa kazi yake, yeye ndie amefanikisha kila kitu sio mwanamke ambaye angeona hakuna dalili ya mafanikio asingesogea hata karibu.

He did it himself, he made something from nothing. So let us cherish him himself.
Kuna multiple factors, number 1 ni yeye, namba 2 mwanamke, namba tatu jamii iliyomzunguka, from family ,relatives and friends
 
Tupe mfano wa huyo aliyefeli
 
Kuna multiple factors, number 1 ni yeye, namba 2 mwanamke, namba tatu jamii iliyomzunguka, from family ,relatives and friends
In most case iyo namba 3 huwa inakua mbele ya namba 2. Jamii inayomzunguka yaani familia, ndugu na marafiki huwa inafuata baada ya jitiada zake mwenyewe. Mara nyingi mwanamke anakuja baadae sana baada ya kuona mafanikio au potential.

Anyway, vipi mwanaume akifanikiwa. Mpangilio unabaki hivyo hivyo au mwanamke anakuja nafasi ya kwanza kama tunavyoaminishwa?
 
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.

If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame alone right? Not a woman. But the moment a man chooses to go extra miles, drill himself, deprive himself of temporary fun just to focus on his growth, a woman suddenly becomes the one behind his success.

Kila siku mtandaoni na mitaani tunaona wanaume wanakutana na mabalaa kibao. Wengine ni ombaomba, wengine wanaiba wanakamatwa na kuchomwa moto. Hatujawahi kusikia mwanamke akifungamanishwa na hawa wanaume lakini mwanaume akitoboa ndio unasikia "mwanamke kaleta baraka"

Tumpe mwanaume pongezi zake yeye mwenyewe binafsi. Mwanaume ndie anastahili pongezi kwa kazi yake, yeye ndie amefanikisha kila kitu sio mwanamke ambaye angeona hakuna dalili ya mafanikio asingesogea hata karibu.

He did it himself, he made something from nothing. So let us cherish him himself.
Pisi kali zenye bulichi zipo nyuma yake
 
So far maisha yangu yana mwelekeo unaoridhisha ingawa changamoto za kibinadamu zipo.

Nina familia(mke na mtoto) ambayo naihudumia mahitaji yote muhimu, nasaidia ndugu zangu, kibiashara changu kinapiga hatua, situmii usafiri wa umma na kibanda changu kipo kwenye hatua za mwishoni kabisa ili niitwe baba mwenye nyumba. Kibongo bongo kijana ambae nipo early 30's sio mbaya.
Unaenda vizuri sana.
 
Back
Top Bottom