Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

Msingi wa mafanikio ya mwanaume, ni msukumo wa ule ugumu unaoupitia nyakati fulani hivo pale unaposikia fedha inaweza kirahisiSha kupunguza au kumaliza ugumu huo unajikuta unafight sana wala sio "mwanamke"
 
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.

If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame alone right? Not a woman. But the moment a man chooses to go extra miles, drill himself, deprive himself of temporary fun just to focus on his growth, a woman suddenly becomes the one behind his success.

Kila siku mtandaoni na mitaani tunaona wanaume wanakutana na mabalaa kibao. Wengine ni ombaomba, wengine wanaiba wanakamatwa na kuchomwa moto. Hatujawahi kusikia mwanamke akifungamanishwa na hawa wanaume lakini mwanaume akitoboa ndio unasikia "mwanamke kaleta baraka"

Tumpe mwanaume pongezi zake yeye mwenyewe binafsi. Mwanaume ndie anastahili pongezi kwa kazi yake, yeye ndie amefanikisha kila kitu sio mwanamke ambaye angeona hakuna dalili ya mafanikio asingesogea hata karibu.

He did it himself, he made something from nothing. So let us cherish him himself.
Na pia tusiwaseme kuwa wazee wazamani ni wakoloni walijua kuwa Mwanamke hatakiw kushirikishwa kila kitu unawekeza mahali flani mpaka mke wako ajue wakati SIFA na HESHIMA ya kuwekeza katika miladi mbali mbali inapojulikana katika ndoa Huwa ni hatari ukimfumania atakwambia tugawane mali
 
Kuna ukweli
 
Wakati nikiwa mdogo shule ya msingi na sekondari tulifundishwa mambo mengi kuhusu ubaguzi wa kijinsia, niseme wazi binafsi niliona wanawake hawakua wanatendewa haki.

Lakini kadili ninavyokua na kuzidi kupata ufahamu zaidi kahusu saikolojia ya mwanaume na mwanamke pamoja application zake katika maisha ya kila siku naanza kuona kwa kiasi kikubwa wazee wetu walikua sahihi kuwaweka wanawake nyuma.
 
Wanaume weusi ni wadhaifu mbele ya wanawake.

Nasema hivi kwakuwa My father alioa akiwa na miaka 32 alikuwa ameajiriwa katika hotel kubwa

By that time

Alikuwa anapata faida kupitia mambo 03
-Kuuza dollars kwakuwa alikuwa anapokea Sana wazungu

-kupata vyakula kwakuwa alikuwa anahusika katika manunuzi

Mshahara haukuwa mkubwa

Kosa alilolifanya ni kuoa mwanamk kutoka familia masikini

Baada ya kumuoa

Akanunua Nyumba
Akanunua Gari
Akanunua mashamba.

Ila hauwezi kuamini mwanamke aliyetoka katika maadili ya dini akawa anakunywa pombe , vurugu .

Pamoja kwamba Mama yangu alikuwa ni first born Ila alipoteza focus ya maisha na kusahau umasikini mkubwa aliouacha nyumbani kwao.

Akafunguliwa duka kubwa Sana la Vipodozi Ila hakawa anamruhusu kila mtu kuuza mwisho likafungwa.

Kufupisha story Mimi mzee wangu father hatumii pombe , wala aina yoyote ya kilevi ni humble guy .

Kwa akili kubwa yenye utulivu aliyonayo mzee wangu Kama angepata smart woman maana yake angekuwa moja wa watu wenye mafanikio makubwa.

Funzo

Mwanamke masikini usimuoe kwa kumuonea huruma .

Hii nimejifunza kwakuwa Mimi mzee wangu anatoka familia bora Ila alienda kuoa katika broke family kitu ambacho kilikuwa sio sahihi .

Ila Leo hii nimeona stigma kubwa anafanyiwa mzee wangu kuwa yeye ajahusika na hayo mafanikio madogo aliyonayo ahaaa kid.

So all in all God is good
Mkuu pole sana, wengi ktk familia zetu tumeshuhudia haya kwa wazazi wetu, ni vile tukianza kusema watakuja kusema tunawaonea wanawake. Ni ukweli usiopingika kwamba mwanamke ana sehemu kubwa sana ya kumuangusha mwanaume hasa wanaume ambao ni humble kwa wanawake zao na kwa familia.

Ni rahisi sana masikini akipata sehemu ya nzuri ya kulala, usafiri, uhakika wa kula, familia n.k kusahau ni wapi alipotoka. Na mbaya zaidi sio rahisi mtu aliyetoka katika umasikini akaridhika.
 
Ni kweli mkuu ni ngumu sana kumpata masikini makini na mwaminifu. Mwanzoni ataonyesha dalili njema lakni uko mbeleni atarudi kwenye uhalisia.

NI kweli uadilifu unaweza kukusesha fursa ya haraka haraka lakini in long run kuwa mwadilifu itakusaidia sana

Chukulia mfano fundi wa kushona nguo hapo mtaani. Ukimpelekea nguo hata kama ana kazi nyingi ataipokea na kukwambia uifuate baadae kwa sababu ya tamaa ya hela(umasikini). Nguo yako mpaka ije kushonwa utazungushwa sana matokeo ya hii ni nini? In short term kapata hela lakini in long term atakua kapoteza loyal customers wengi sana na kuiaribu brand yake.

Vipi kama angekua muwazi kwa kuchukua kazi za wateja ambao anaweza kuwahudumia kwa muda huo. In short term angeikosa iyo hela ya wateja ambao amewaambia hana muda kini in long run angetengeneza wateja watiifu ambao na wao wangekua mabalozi wake kwa kumtangaza vizuri kitu ambacho kingemtengenezea brand na angepata kazi nyingi zaidi
Uaminifu ni tabia ya mtu haijarishi awe masikini au tajiri ni tabia tu aliyonayo mtu..
Kuna matajiri wengi wengi tu utajiri wao ni sababu za utapeli na kutokuwa waaminifu..
 
nachojua kwa akili yangu kubwa nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume ujue kuna washikaji..na nyuma ya kufeli kwa mwanaume yeyote ujue kuna mwanamke...nina washikaji kibao wamefeli maisha baada ya kuoa
Upo sahihi, tukiziweka shuhuda humu tutaja servers. Hii ni kete ambayo ipo spiritually shetani anaitumia kutudondosha wanaume.
 
Mkuu pole sana, wengi ktk familia zetu tumeshuhudia haya kwa wazazi wetu, ni vile tukianza kusema watakuja kusema tunawaonea wanawake. Ni ukweli usiopingika kwamba mwanamke ana sehemu kubwa sana ya kumuangusha mwanaume hasa wanaume ambao ni humble kwa wanawake zao na kwa familia.

Ni rahisi sana masikini akipata sehemu ya nzuri ya kulala, usafiri, uhakika wa kula, familia n.k kusahau ni wapi alipotoka. Na mbaya zaidi sio rahisi mtu aliyetoka katika umasikini akaridhika.
100%
 
Nobody, most likely ni kukosa maarifa au uzembe.

Phrase ya "behind every succesfull man there is a woman" ina chimbuko lake linalotokana na patriarchal structures, na siyo kumpa credit mwanamke ambaye kihistoria hakua na sauti wala haki yoyote kwenye mafanikio ya mwanaume.

Binafsi I prefer "Behind every successful person, there is a person."
Asante sana
 
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.

If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame alone right? Not a woman. But the moment a man chooses to go extra miles, drill himself, deprive himself of temporary fun just to focus on his growth, a woman suddenly becomes the one behind his success.

Kila siku mtandaoni na mitaani tunaona wanaume wanakutana na mabalaa kibao. Wengine ni ombaomba, wengine wanaiba wanakamatwa na kuchomwa moto. Hatujawahi kusikia mwanamke akifungamanishwa na hawa wanaume lakini mwanaume akitoboa ndio unasikia "mwanamke kaleta baraka"

Tumpe mwanaume pongezi zake yeye mwenyewe binafsi. Mwanaume ndie anastahili pongezi kwa kazi yake, yeye ndie amefanikisha kila kitu sio mwanamke ambaye angeona hakuna dalili ya mafanikio asingesogea hata karibu.

He did it himself, he made something from nothing. So let us cherish him himself.
Yeye mwenyewe
 
Mbona kama umepotea njia. Una uhakika umecomment kwenye mada uliyokusudia?
hasara, ugumu au furaha ya hali ya maisha unayopitia hivi sasa, yafaa ujilaumu au kujipongeza mwenyewe nakumshukuru Mungu kwa yote.

Hakuna haja ya kujaribu kusingizia wengine kama sababu ya unachopitia wewe sasaivi.

usikate tamaa, badili na kuzifanya changamoto kua fursa,
na kwa neema na baraka za Mungu utafanikiwa bila kumlamu mwingine :pulpTRAVOLTA:
 
Angalia wanaume waliofanikiwa kisha wakaanguka, 70% ni mwanamke. Mwanamke ana majanga zaidi kwa mwanaume kuliko faida.
Uko juu kuna comment nimeona jamaa kasema kwenye safari ya mafanikio mwanamke ni liability au resistance
 
Uaminifu ni tabia ya mtu haijarishi awe masikini au tajiri ni tabia tu aliyonayo mtu..
Kuna matajiri wengi wengi tu utajiri wao ni sababu za utapeli na kutokuwa waaminifu..
Angalao tajiri ambae sio mwaminifu anajulikana kirahisi lakini masikini anakuja na sura ya malaika, mpe fursa sasa uone
 
Katika kila failed man, kuna...
1. Uzembe
2. Uvivu
3. Kuigaiga mambo hivyo kukosa msimamo
4. Kutokushauriana na mwenzi wake katika masuala ya maendeleo.
5. Kuchagua mke asiyekupa challenge ya maisha ukiamini, as long as alikuwa mzuri wa sura ukamwoa.
6 . Starehe kama pombe na wanawake na kushinda bar kwenye viti virefu na maeneo mengine ya starehe ukiamini kila unayemwona anafanya hivyo
7. Utovu wa nidhamu unaokukosesha fursa na uaminifu kwa wengine
8. Kuridhika na kidogo badala ya kupambana zaidi.
9. Kuzaa bila mpangilio hivyo juhudi zote zinaishia kulisha familia
10. Umeoa mke naye ana ajira nzuri tu, ila unamwachia mshahara wake wote afanyie starehe mfano urembo na mavazi na kuhudumia wazazi wake, wewe unalea familia yako, ya wazazi wake na wazazi wako.
1o. Kuishi expensive life kuliko kipato chako mfano chakula, kodi kubwa, mkopo wa gari/gari la bei mbaya, na mikopo isiyo la lazima nk.
11. Kutokuwa na malengo ya wapi unataka kwenda, hivyo unakosa mwelekeo. Hapa utaendelea kuamini kila anayefanikiwa ni mwizi au anafanya kazi za magendo.
 
hasara, ugumu au furaha ya hali ya maisha unayopitia hivi sasa, yafaa ujilaumu au kujipongeza mwenyewe nakumshukuru Mungu kwa yote.

Hakuna haja ya kujaribu kusingizia wengine kama sababu ya unachopitia wewe sasaivi.

usikate tamaa, badili na kuzifanya changamoto kua fursa,
na kwa neema na baraka za Mungu utafanikiwa bila kumlamu mwingine :pulpTRAVOLTA:
So far maisha yangu yana mwelekeo unaoridhisha ingawa changamoto za kibinadamu zipo.

Nina familia(mke na mtoto) ambayo naihudumia mahitaji yote muhimu, nasaidia ndugu zangu, kibiashara changu kinapiga hatua, situmii usafiri wa umma na kibanda changu kipo kwenye hatua za mwishoni kabisa ili niitwe baba mwenye nyumba. Kibongo bongo kijana ambae nipo early 30's sio mbaya.
 
Back
Top Bottom