Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

Kuna multiple factors, number 1 ni yeye, namba 2 mwanamke, namba tatu jamii iliyomzunguka, from family ,relatives and friends
 
Tupe mfano wa huyo aliyefeli
 
Kuna multiple factors, number 1 ni yeye, namba 2 mwanamke, namba tatu jamii iliyomzunguka, from family ,relatives and friends
In most case iyo namba 3 huwa inakua mbele ya namba 2. Jamii inayomzunguka yaani familia, ndugu na marafiki huwa inafuata baada ya jitiada zake mwenyewe. Mara nyingi mwanamke anakuja baadae sana baada ya kuona mafanikio au potential.

Anyway, vipi mwanaume akifanikiwa. Mpangilio unabaki hivyo hivyo au mwanamke anakuja nafasi ya kwanza kama tunavyoaminishwa?
 
Pisi kali zenye bulichi zipo nyuma yake
 
Unaenda vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…