Nani yupo nyuma ya project ya kulipa bajaji zilizobandikwa picha za Rais Samia?

KWA MIHEMUKO YAO WAMESAHAU KUWEKA VISIWA INA MAANA MAMA ANATAWALA BARA PEKEE?
 
s
sisi chawa. unasemaje?
 
Nani kakwambia wanalipwa? Na hata kama wanalipwa, ukimjua utamfanyaje?
 
Mimi nina picha ya Samia Suluhu nimeibandika kwangu.

Aendelee tu kuwapiga chini Mataga na S Gang.
 
Kaka kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
Kizuri chajiuza kwa kuuwa na kuteka Watu?

Bora kibaya kinachofuata Katiba na Sheria kinachopenda MARIDHIANO kisicho ongea kiswahili cha Nchi jirani kinachomuogopa Mungu Mwenyezi...
 
Kwani akina Cyprian Musiba & Mwita waitara na waunga juhudi za mfalme Zumaridi nani alikuwa akiwapatia pesa
Hahaha kwa moto aliokupelekea huwezi kumsahau ulijambishwa sana we kiroboto
 
Yaani wewe umefanya UCHUNGUZI WA KUAMINIKA, ukapata picha za BAJAJ, Ukajua kiwango wanacholipwa sasa si UWAULIZE HAOHAO NANI ANAWALIPA ILI ULETE MAJIBU HUMU
 
Box la kura si chochote si lolote, box la kura Ni rubber stamp. Tz kushinda uchaguzi na kutangazwa mshindi Ni vitu viwili tofauti, ndio maana mwamba anaomba maridhiano ili angalau apewe majimbo machache. Refer 2020
 
Hilo ni shaka!! Tu hayana ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…