Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kwa kuwa wamekuwa wabunifu je watashindwa kuja ufumbuzi wa mamilioni ya ajira kwani kitu kinachowatesa watu wengiChadema Wana ideas zilizopangika na zinazofanikiwa bila kuhitaji nguvu ya ziada wala dola. Kitendo Cha kutumia mitandao iliyounganishwa na screen za TV zilizopo majumbani kumetoa fursa watu kutambua nguvu ya technology. Ubunifu huu unaendelea kufanya CCM ionekane dhaifu na chama Cha wazee.
Lakini niombe tujue Nani yupo nyuma ya mikakati Hii? Ni watoto wetu waliohitimu Shule na vijana wa CCM? Ni mabeberu au ni wananchi wazalendo?
CHADEMA huwa inasaidiwa na watu waliopo serikalini sema huwa hawataki kuonekana, hakuna ambaye anafurahia ukatili wa CCMChadema Wana ideas zilizopangika na zinazofanikiwa bila kuhitaji nguvu ya ziada wala dola. Kitendo Cha kutumia mitandao iliyounganishwa na screen za TV zilizopo majumbani kumetoa fursa watu kutambua nguvu ya technology. Ubunifu huu unaendelea kufanya CCM ionekane dhaifu na chama Cha wazee.
Lakini niombe tujue Nani yupo nyuma ya mikakati Hii? Ni watoto wetu waliohitimu Shule na vijana wa CCM? Ni mabeberu au ni wananchi wazalendo?
Naunga mkono hojaCCM unibunifu wao uko kwenye wizi wa kura tu, kila uchaguzi wanabuni mbinu za namna ya kuiba maana siasa iliwashinda siku nyingi sana, na katika ubunifu wa wizi wa kura kwa kweli hapa wamefanikiwa hasa ikizingatiwa wahusika wakuu ni vyombo vya usalama.
Jobo kaushuhudia..sasa hivi ni kimya chumbani kwake ...Mzee wa kuwapeleka watu kwa pingu bungeni kujibu tuhuma.CHADEMA huwa inasaidiwa na watu waliopo serikalini sema huwa hawataki kuonekana, hakuna ambaye anafurahia ukatili wa CCM
Bora ajifie huko kadhalilisha sn watuJobo kaushuhudia..sasa hivi ni kimya chumbani kwake ...Mzee wa kuwapeleka watu kwa pingu bungeni kujibu tuhuma.
Aisee siku zinakwenda kwa kasi saana.
Chadema Wana ideas zilizopangika na zinazofanikiwa bila kuhitaji nguvu ya ziada wala dola. Kitendo Cha kutumia mitandao iliyounganishwa na screen za TV zilizopo majumbani kumetoa fursa watu kutambua nguvu ya technology. Ubunifu huu unaendelea kufanya CCM ionekane dhaifu na chama Cha wazee.
Lakini niombe tujue Nani yupo nyuma ya mikakati Hii? Ni watoto wetu waliohitimu Shule na vijana wa CCM? Ni mabeberu au ni wananchi wazalendo?
CCM inakubalika na watu wajinga pekee
SureAkili Kubwa ni akili kubwa tu Sikuzote.
..
Povu mtoto wa kikeWewe Beatrice Kamugisha kumbe kuna wakati wewe naye ni mpu.mbavu kiasi hiki!
Sasa hapo kuna ubunifu gani halafu wewe mwenyewe unaongelea kitu husichokijua!
Hivi huu ujinga wenu wa kutaka kuilinganisha CHADEMA na CCM unatoka wapi?
Ubunifu wa CHADEMA labda ni huu wa Ku- print T-shirts za UKUTA, NO CASE TO ANSWER , na maujinga ujinga ya kula Apples bila kunawa!
Kila mtu mwenye akili anaona CHADEMA ilivyopwaya baada ya MBOWE kuwekwa lupango! Kina Rose Mayemba ( Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe) wanalia njaa itawaua wanaCHADEMA msipochanga pesa muwape!
CHADEMA kwa miaka 30 imekula mabilioni ya ruzuku lakini leo hawana hata vyoo achilia ofisi za maana!
Wakati mwingine ukiwa na mapenzi na kitu acha kujitoa ufahamu na kuwa Zombi wewe Beatrice!
Afterall suala la kuunganisha TV yangu na huduma fulani si ubunifu bali ni uhitaji ulipo!
Sasa niambie hao CHADEMA wanaunda TV? ,Je wame create social network au App gani hapo? ambayo wewe unataka kuilingishia CCM?! Ubunifu wao uko wapi hapo?! Kuunganisha TV kwenye umeme nao ni ubunifu! Kilaz.a sana wewe!
Halafu ubunifu wa wizi wa kura wenyewe pia hayajui, huwa yanaiba mpaka yakamatwa na vipofu!CCM unibunifu wao uko kwenye wizi wa kura tu, kila uchaguzi wanabuni mbinu za namna ya kuiba maana siasa iliwashinda siku nyingi sana, na katika ubunifu wa wizi wa kura kwa kweli hapa wamefanikiwa hasa ikizingatiwa wahusika wakuu ni vyombo vya usalama.
SwadaktaAkili Kubwa ni akili kubwa tu Sikuzote.
..