gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Utakufa kwa kihoro.Wewe Beatrice Kamugisha kumbe kuna wakati wewe naye ni mpu.mbavu kiasi hiki!
Sasa hapo kuna ubunifu gani halafu wewe mwenyewe unaongelea kitu husichokijua!
Hivi huu ujinga wenu wa kutaka kuilinganisha CHADEMA na CCM unatoka wapi?
Ubunifu wa CHADEMA labda ni huu wa Ku- print T-shirts za UKUTA, NO CASE TO ANSWER , na maujinga ujinga ya kula Apples bila kunawa!
Kila mtu mwenye akili anaona CHADEMA ilivyopwaya baada ya MBOWE kuwekwa lupango! Kina Rose Mayemba ( Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe) wanalia njaa itawaua wanaCHADEMA msipochanga pesa muwape!
CHADEMA kwa miaka 30 imekula mabilioni ya ruzuku lakini leo hawana hata vyoo achilia ofisi za maana!
Wakati mwingine ukiwa na mapenzi na kitu acha kujitoa ufahamu na kuwa Zombi wewe Beatrice!
Afterall suala la kuunganisha TV yangu na huduma fulani si ubunifu bali ni uhitaji ulipo!
Sasa niambie hao CHADEMA wanaunda TV? ,Je wame create social network au App gani hapo? ambayo wewe unataka kuilingishia CCM?! Ubunifu wao uko wapi hapo?! Kuunganisha TV kwenye umeme nao ni ubunifu! Kilaz.a sana wewe!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app